Wahenga wa juzi tuu

Wahenga wa juzi tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,968
Reaction score
828,703
IMG-20171111-WA0069.jpg
 
Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
 
loh kweli kabisa
 
Na uaambiwa ukiugua atakae hangaika ni mimi baba yako atakuwa kwenye starehe zake huko😀
 
Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Hiyo ilitupata wahenga tuu watoto wa sasa hawajui hiyo katarina, wanaweza kukuambia ni kimbunga
 
Catalina ni hurricane ilitokea zamani lakini tuliita bila kufahamu
Sijui ni kwanini ila tangu enzi hizo mpaka leo hii muda huu nilikuwa najua katalina ni binti mrembo anayekuja na mvua... Halafu akija wote mmeloa anakuchukua na mnaenda kujificha na kucheza kibabababa na kimamamama
 
Mkuu
 
kwa kweli umenikumbusha mbali...dah marafiki wa mtotoni ilikua balaa unaanza nayo shulen hiyo mvua hadi nyumbani ukifika home utakiona cha moto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom