Wahenga season 2

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,680
wahenga walisema "mwanzo mgumu" sasa ukitaka kujua kama mwanzo ni mgumu au mwepesi panda mlima kilimanjaro mpaka kwenye peak hapo ndio utajua kama mwanzo au mwisho ndiyo mgumu?? hapo ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom