Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Mar 29, 2020 #1 Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250
Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250
God is Dead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,313 Reaction score 1,531 Mar 29, 2020 #2 Hilo hilo mkuu la spana malaya.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Mar 29, 2020 #3 Kwani ilikua na jina mbadala zaidi ya hilo la Spana Malaya?
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Mar 29, 2020 #4 Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... sijawahi kuiona
Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... sijawahi kuiona
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Mar 29, 2020 #5 Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... sijawahi kuiona
Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... sijawahi kuiona
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,706 Mar 29, 2020 #6 Matundu mengi Sent using Jamii Forums mobile app
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Mar 29, 2020 Thread starter #7 Chrismoris said: sijawahi kuiona Click to expand... Hii
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Mar 29, 2020 #8 Mr pianoman said: Hii View attachment 1403268 Click to expand... Huwa naiona kwenye tv au kwenye picha kama hivyo
Mr pianoman said: Hii View attachment 1403268 Click to expand... Huwa naiona kwenye tv au kwenye picha kama hivyo
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Mar 29, 2020 Thread starter #9 The Monk said: Kwani ilikua na jina mbadala zaidi ya hilo la Spana Malaya? Click to expand... Kuna watu hawaijui mkuu
The Monk said: Kwani ilikua na jina mbadala zaidi ya hilo la Spana Malaya? Click to expand... Kuna watu hawaijui mkuu
chama mpangala JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 621 Reaction score 934 Mar 29, 2020 #10 Chrismoris said: sijawahi kuiona Click to expand... Utakuwa umezaliwa miaka ya 20s Sent using Jamii Forums mobile app
Chrismoris said: sijawahi kuiona Click to expand... Utakuwa umezaliwa miaka ya 20s Sent using Jamii Forums mobile app
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Mar 29, 2020 #11 chama mpangala said: Utakuwa umezaliwa miaka ya 20s Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... duuuu kama nimezaliwa kipindi hicho hadi sasa si nitakuwa mzimu au maana 20s ni zamani sana yaani kabla hata wakoloni hawajafika Afrika. Ni 2000s sio 20s
chama mpangala said: Utakuwa umezaliwa miaka ya 20s Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... duuuu kama nimezaliwa kipindi hicho hadi sasa si nitakuwa mzimu au maana 20s ni zamani sana yaani kabla hata wakoloni hawajafika Afrika. Ni 2000s sio 20s
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Mar 29, 2020 Thread starter #12 Chrismoris said: Huwa naiona kwenye tv au kwenye picha kama hivyo Click to expand... Jina lake ndilo hilo hapo "spana Malaya"
Chrismoris said: Huwa naiona kwenye tv au kwenye picha kama hivyo Click to expand... Jina lake ndilo hilo hapo "spana Malaya"
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,516 Mar 29, 2020 #13 Nilikuwa siipendi sana hii.kwanza ukiitumia kwa nguvu hukawii kupiga ngumi chuma maana inaachia. Kifupi ilifaa kama dharula. Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa siipendi sana hii.kwanza ukiitumia kwa nguvu hukawii kupiga ngumi chuma maana inaachia. Kifupi ilifaa kama dharula. Sent using Jamii Forums mobile app
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Mar 29, 2020 #14 Mr pianoman said: Kuna watu hawaijui mkuu Click to expand... Kwa sie wahenga tunaozijua Shangzen, Swala, Phoenix, Avon hiyo ilikua nyenzo muhimu sana.
Mr pianoman said: Kuna watu hawaijui mkuu Click to expand... Kwa sie wahenga tunaozijua Shangzen, Swala, Phoenix, Avon hiyo ilikua nyenzo muhimu sana.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,557 Reaction score 7,383 Mar 30, 2020 #15 Mbona hizo ni dagaa zinsongeza madini ya chuma na protein Mboga za majani uwezo wa kuona
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,548 Mar 30, 2020 #16 Na ilikuwa malaya kweliπππππ
Nzuguni one JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 1,158 Reaction score 482 Mar 31, 2020 #17 Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... Inafungua kila nati hiyo.
Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... Inafungua kila nati hiyo.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,516 Mar 31, 2020 #18 Lord eyes said: Mbona hizo ni dagaa zinsongeza madini ya chuma na protein Mboga za majani uwezo wa kuona Click to expand... Akili zako ni kama huyo mnyabi wa kwenye avatar yako.
Lord eyes said: Mbona hizo ni dagaa zinsongeza madini ya chuma na protein Mboga za majani uwezo wa kuona Click to expand... Akili zako ni kama huyo mnyabi wa kwenye avatar yako.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,154 Reaction score 831,823 Mar 31, 2020 #19 Hakuna fundi baiskeli alikuwa anakosa hii Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... Jr
Hakuna fundi baiskeli alikuwa anakosa hii Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand... Jr
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,347 Mar 31, 2020 #20 Na ni kwanini iliitwa spana malaya Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand...
Na ni kwanini iliitwa spana malaya Mr pianoman said: Mimi niliifahamu kwa jina la SPANA MALAYA je wewe muhenga mwenzangu uliifahamu kwa jina gani? View attachment 1403250View attachment 1403251 Click to expand...