Wahenga: Maktaba ya Babu

Wahenga: Maktaba ya Babu

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Mjukuu wangu hapana shaka ungependa kuwa bora kuliko wengine!?

Baraka: naam haswaa
Babu: nataka kukufunza jambo hapana njia yoyote ya kulitenda hili usipowaaminisha wengine kuwa wewe ni tofauti na wao!

1:umeona tofauti ya watawaliwa na watawala?!
Baraka: hapana babu yangu?

Watawala wamewaaminisha kuwa wao ni bora kuliko ninyi nakuambia mjuukuu wangu hakika hakuna utumwa unaolevya kama huo utumwa huo ulituathiri sisi tulipoamua kwaakili zetu kuwa mzungu ni bora kuliko mwafrika dhana hiyo inazidi kuwatafuta watawaliwa wa Leo na haita waacha maadam wametafunwa na kuacha

Babu: sasa mjukuu ni kwamba ukufanikisha kuwatawala watawaliwa na wakaamini kuwa wewe ni bora kuliko yoyote hata wakiudhiwa utawatawala maana unawatawala kuanzia ndani na kamwe hawataamua kinyume nawe.

Baraka: akhsante babu nimejifunza mengi
Hakika "jungu kuu halikosi ukoko"
 
Sawa muhenga
Hivi kumbe huwa uko serious kujibu uzi mapema kuliko wengine?
=====
Babu: sasa mjukuu ni kwamba ukufanikisha kuwatawala watawaliwa na wakaamini kuwa wewe ni bora kuliko yoyote hata wakiudhiwa utawatawala maana unawatawala kuanzia ndani na kamwe hawataamua kinyume nawe
----
Hekima hii.
 
Back
Top Bottom