Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Mmang'ati.
Nalog off
![]()
Nalog off
Huyo sio mhazabe huyu ni mbarbaig (mang'ati)
Huo mchoro wao wanamaanisha nini mkuu?Hiyo michoro usoni inaitwa SALAMAJEG
Basi nimedanganywa kwa kuambiwa huyu ni Mhazabe,haya mkuu mimi nabadili kichwa cha habari hapo juu.Huyo sio mhazabe huyu ni mbarbaig (mang'ati)
Huo mchoro wao wanamaanisha nini mkuu?
Nalog off
wanafanana sana.Kama wamasai...
hahahahah haya bi dada na inawabidi wawe nazo si unajua tena mambo ya vumbi.Sun glass..
wanafanana sana.
Nalog off
![]()
Nalog off
Huo mchoro wao wanamaanisha nini mkuu?
Nalog off
nimekuelewa mkuu.Hiyo michoro ni marembo kama marembo mengine tu .
katokelezaje!alafu huyu wa kidigitali!
ni kweli kabisa imependeza.Hiyo mbeleko inapendeza!
ni kweli mkuu,bado wanadumisha asili zao.wanapendeza sana