chama ndugu yangu unaweza kushangaa
Mamndenyi atakavyokubali fasta mie kupewa kibarua cha kuangalia bustani yenu.. Maana atakuwa na uhakika wa ya kuendelea kwa mawasiliano yake na
Bishanga.. Aliimba Marijani Mwana wa Rajabu a.k.a Doza kwamba asiejua kupenda aombe Mungu ampitishie mbali..
Mamndenyi mahaba yanamtenda..