Kulikua na kikao cha wazazi kuhusu vijana wetu wanaosoma watu wakachangia ndo ikawa zamu ya mzee mmoja wa kihaya na tulimjua kabila lake kutokana na jina na lafudhi ikawa badala ya kuongea kilochomleta ikaanza kujisifia km nusu saa akataja hadi mshahara anaopokea kazini,alichowauzi watu alisema humu ndani me nnaonekana mdogo kuliko wote lakini me nimkubwa hila kutokana na elimu yangu nnachukua mshahara mzuri nnakula vizuri ndo maana nnaonekana bado kijana kwahyo ndugu zangu wa sisitizeni vijana wenu kusoma,elimu ni mali sana huyo mhaya mpaka anamaliza kuongea kikao watu walibaki nusu watu waliondoka kwa hasira maana aliongea dharau hapa nimeandika machache.tunajua ndugu zetu wahaya mmesoma hila punguzeni dharau kwa watu msiyo wajua.