Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Mhaya mmoja alienda sehemu ya kupak magari ghafla kila upande anaoangalia kuna benz la m 500 m 600, na yeye yuko na vitz yako. Basi kwa aibu ikabidi aulize sehemu ya wenye full tank wanapak wapi