Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,223
4,645
Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.

Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea.

Hebu wahini kusahihisha hilo.
 
Hata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia

Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Sasa Hawa wanatuchanganya nimesikia Guinea Bissau mara Guinea Conakary Sasa Hawa wanaocheza na equatorial guinea ni hao Conakry au bissau ?
 
Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geograpyhy wako zero

Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea

Hebu wahini kusahihisha hilo
Hili tatizo niliwahi kuliongelea hapa JF. Watangazaji wa siku hizi ni vilaza wa kutupwa.
 
Hata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia

Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Hata wewe ni kilaza vilevile sio New papua Guinea, ni PAPUA NEW GUINEA na haipo Asia ipo katika bara la Oceania
 
Back
Top Bottom