N niponipo sana New Member Joined Dec 30, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Dec 30, 2011 #1 serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba
serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Dec 30, 2011 #2 Wenye nyumba ndo wahusika hapo!
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 326 Reaction score 62 Dec 30, 2011 #3 Hv we hujui kusoma au?...unatuletea habari za mafuriko kwenye job vacancy!..
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Dec 30, 2011 #4 Hii thread mbona umepost kwenye jukwaa siyo.
Nguchiro JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 364 Reaction score 31 Dec 30, 2011 #5 [niponipo sana] serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba hii mada yako inahusiana vipi na masuala ya kazi? kusoma hamjui hata picha hamuoni? mnabore watu bwana
[niponipo sana] serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba hii mada yako inahusiana vipi na masuala ya kazi? kusoma hamjui hata picha hamuoni? mnabore watu bwana