wahanga wa mafurik

niponipo sana

New Member
Dec 30, 2011
2
0
serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba
 
[niponipo sana] serikali imesema itawapa viwanja bure wale walioathirika na mafuriko ,sasa watakaopewa viwanja ni wapangaji au ni wenye zile nyumba


hii mada yako inahusiana vipi na masuala ya kazi? kusoma hamjui hata picha hamuoni? mnabore watu bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom