Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,970
tulisikia kuwa wahanga wa Deci wangelipwa, hivi malipo yao yatatoka lini?
Poleni wana DECItulisikia kuwa wahanga wa Deci wangelipwa, hivi malipo yao yatatoka lini?
Majonzi tele moyoni
Nxt time tutumie mvua ya Thailandmvua haijanyesha, kulikuwa na ukame, so hawatavuna.
jamaa zangu kibao walikuwa wanashinda Mabibo.