Wahamiaji haramu wafurika Sirari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahamiaji haramu wafurika Sirari

Discussion in 'International Forum' started by The Quonquerer, Dec 10, 2010.

 1. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tarime, na Samsoni Chacha:

  Idadi kubwa ya wahamiaji haramu wengi wao kutoka Kenya wanadaiiwa kuwa chanzo cha vitendo vya uhalifu vinavyokithiri katika mji wa Sirari ulipo wilayani hapa Mkoa wa Mara.

  Inadaiwa kuwa hahamiaji hao wanashirikiana na watanzania wanaodaiwa kuwauzia ardhi kwa njia zisizo halali.

  Baadhi ya wakazi wa vijiji vya Sokoni, Kanisani, Mpakani, Nyamorege, Buriba, Buhemba vilivyopo mjini humo, waliwaambia waandishi wa habari kuwa eneo la mji huo limevamiwa na wahamiaji hao wanaotishia usalama wa watu na mali zao.

  kwa ufupi:

  wengine wajenga makazi ta kudumu,
  wanauwa raia,
  maofisa wa uhamiaji huwasaidia...hawa natugharimu mno, maana ndio mradi wao...wako tayari kuona wanachi wakiuawa!
  hao haramu wamefungua biashara pasipo leseni, na hawalipi kodi na ushru,
  Ofisa wa Uhamiaji wa Wilaya ya Tarime, Isack Mayeka alithibitisha kuapata taarifa hizo (acted?????) au na yeye amekula?

  eti maafisa wataanza msako!! uongo huo!

  Source: Nipashe la leo!

  MY TAKE: 1. Je hayo ndiyo matunda ya katiba mpya ya Kenya?
  2. Hivi kama iwapo hali hiyo ni hivyo mipakani kote ikiwemo Ngara, hatma ya nchi iko vipi?
  3. Ndiyo maana wanashupalia Shirikisho, should ntheir emergecies be our problems and priorities, vya kwao wanatupa nyang'au hawa? Kila nchi ikae na shida zake bwana! Eti ndiyo super power ya EAC, nyang'au hawa bwana na wenzao..wizi mtupu.

  Smatta, Nomasana na Nyaralego kaeni kwenu! Ebo! hamna adabu kabisa!
   
Loading...