Wahadzabe ni wale walio kwenye filamu ya The Gods Must Be Crazy?

Unamaanisha jamii ya "Khoisan"?
Kwa kifupi hao wahdzabe na hao wa Kalahari wote ni jamii moja..
Kama unavyoona wabantu wa Tanzania na wabantu wa nchi nyingine za Africa (mfano Ghana, Zambia, Burkina Faso, etc), wote ni jamii moja.
Kama unavyoona waTutsi na waSomali, wote ni jamii moja.

..
.
 
Ni Ancestry moja, na wote wanaongea kwa kutumia "clicking sounds".
Kati ya filamu ambazo zilishawahi kuweka record ya kunichekesha katika maisha yangu, ni part I ya hii picha.
Ilivunja mbavu sana
 
Ilivunja mbavu sana
Yule mzee wa Kiarabu nadhani anaitwa Mpugi. Yuko anasukuma Landrover ili liwake halafu akasema "YESTERDAY, IT TOOK A HORSE AND TWO MEN TO START THE CAR". Bado kuna yule mzungu mwenye phobia kwa akina mama, nadhani Aanaitwa MR STAIN. Mbavu huwa zinauma kwa hii picha
You can imagine gari ambayo inabidi iunganishwe na Farasi halafu ndiyo iweze kuwaka na bado tena inahitaji na watu kadhaa
 
Mongo wa Mono Yaenda Chini Mbulu na Lake Eyasi ...jamii moja katika lugha ya ulimi na mazingira...
 
Back
Top Bottom