wagonjwa wawili

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,638
13,052
Wagonjwa wawili waliokuwa ktk ward 1 baada ya kupata ajali ya kugongwa na magari,wakawa wanazungumza kujua walifikaje pale hospitalini mazungumzo yao yakawa hivi...
Jamaa1:ndugu yangu umegongwa na gari gani?...
Jamaa2:nimegongwa na mgongo wa chura(VW old model)....
Jamaa1:we mpumbavu nn?magari yote haya ya kifahari unaenda kugongwa na Bito,unaona mwenzio nimegongwa na Ferrali
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom