Wagonjwa nane wa mlipuko wa bomu Arusha kufikishwa hospital ya taifa Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagonjwa nane wa mlipuko wa bomu Arusha kufikishwa hospital ya taifa Muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkisyeli, May 8, 2013.

 1. mkisyeli

  mkisyeli JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2013
  Joined: May 6, 2013
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Taarifa ambayo nimeipata sasa hivi hapa ni kuwa wagonjwa nane kati ya 56 wa mlipuko wa mabomu mkoani Arusha wanatarajia kutua na ndege saa nane mchana wa leo kutokana na hali zao kuwa mbaya na hii pia inamaana ya kuwa Hospitali zetu hazina uwezo wa kutosha mpaka kuwahamisha wagonjwa katika hospitali za rufaa??
   
 2. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  God knows that you were innocent. Devine Order will take charge and see that you recover fast. As you all know - Doctor dresses the wound but God heals it. Get well soon!
   
 3. Kennedy Daima Mmari

  Kennedy Daima Mmari Verified User

  #3
  May 8, 2013
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 981
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  good message indeed
   
Loading...