Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Kazi ipo.Ni masikitiko makubwa sana, watanzania wanakufa serikali inaangalia tu.Shame on you CCM and your government.The deaths of these people will not go in vain
Wakati mwingine ukifikiri vizuri huchelei kuwaona hawa viongozi wa Tanganyika kama mabumunda, mataahira na majuha flani, kweli kabisa hawaoni umuhimu wa raia wa nchi hii, wanawakomoa madaktari au wananchi.
Mbona kila anaekuwa kiongozi hujiona Mungu-mtu?
Gharama za kutalii kila uchwao jamaa wanazo lakini zakufanya mambo ya msingi hawana
you are damn right man!!!nchi hi inaongozwa na mafisi.afadhali tuandae mbwa tumfundishe uongozi atuongoze
nasema nchi yoyote ile duniani inayowadharau wataalamu wake lazima iwe maskini
Mbona tuna FFU wengi sana Tanzania, si wawape makoti meupe wakawatibu wagonjwa? au FFU hawawezi kufanya kila kitu?