Tunayo majina yote ya wahusikaTume ya Uchaguzi walitakiwa kujiongeza badala ya kuteua makada wa CCM Mpya waliojificha chini ya mwamvuli wa Mkurugenzi DED wa Halmashauri / Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi huku DED-Wakurugenzi wakiwa hawapo huru na wakitumika kisiasa na CCM Mpya.
Sasa pressure kubwa imehamia Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Taifa huku wagombea wa Urais na ubunge wa CCM Mpya na kina Polepole na Bashiru wakijifanya hawahusiki na uchafuzi huo.
Kamati za maadili ya uchaguzi wanazo hizo taarifa, siwezi kuweka hapa mimi sio msemaji wa tume lakini fomu zilizojaa makosa ziko nyingi tu. Tena saa nyingine utafikiri kama ulikuwa mkakati wa makusudi. Lakini ndio imekula kwao tena.Unatetea dhulma ili iweje? Mbunge gani au Diwani gani alifanya hivyo?
Acha kuamini vitu ambavyo vilishapangwa. Siku utakapoona formu yako mahali flani imejazwa tofauti na ulivyojaza wewe mwenyewe tena kwa lugha yako pendwa ya kiswahili ndipo utakapojua michezo michafu ipo.Vyama vya siasa vinatakiwa kutoa elimu kwa wagombea wao kwa wakati. Mtu anajaza jina lake kwenye sehemu ya tarehe ya kuzaliwa, unategemea msimamizi wa uchaguzi atafanya nini. Kama ni job interview, unategemea utaitwa tena?
Hahahaha, watanzania mnafanywa wajinga na akina nani hao? Kwann mkubali kufanywa wajinga? Chukueni Hatua ,mmebaki nyie tu na Ccm yenu hyAcha kuamini vitu ambavyo vilishapangwa. Siku utakapoona formu yako mahali flani imejazwa tofauti na ulivyojaza wewe mwenyewe tena kwa lugha yako pendwa ya kiswahili ndipo utakapojua michezo michafu ipo...
Uje kwetuMungu ibariki CHADEMA.
Tatizo ni kubwa kuliko unavyo dai, haiwezekani makosa yawe ya upande mmoja. Kuanzia Pemba, Misenyi hadi Mbambabay....... kuna dalili za hujuma.Vyama vya siasa vinatakiwa kutoa elimu kwa wagombea wao kwa wakati. Mtu anajaza jina lake kwenye sehemu ya tarehe ya kuzaliwa, unategemea msimamizi wa uchaguzi atafanya nini. Kama ni job interview, unategemea utaitwa tena?
Sio wote walio ndani ya nyumba wanafurahia mfanyakazi anapofagia na uchafu kuusukumizia chini ya carpet.Hahahaha, watanzania mnafanywa wajinga na akina nani hao? Kwann mkubali kufanywa wajinga? Chukueni Hatua ,mmebaki nyie tu na Ccm yenu hy
Vyama vya siasa vinatakiwa kutoa elimu kwa wagombea wao kwa wakati. Mtu anajaza jina lake kwenye sehemu ya tarehe ya kuzaliwa, unategemea msimamizi wa uchaguzi atafanya nini. Kama ni job interview, unategemea utaitwa tena?
Iwekwe hadharani na fomu ya Magufuli iliyowekewa pingamizi tujue kwa nini yake ilitupwa na za wabunge na madiwani zilipita.Kamati za maadili ya uchaguzi wanazo hizo taarifa, siwezi kuweka hapa mimi sio msemaji wa tume lakini fomu zilizojaa makosa ziko nyingi tu. Tena saa nyingine utafikiri kama ulikuwa mkakati wa makusudi. Lakini ndio imekula kwao tena.
View attachment 1555958
Pitia maelezo ya Polepole wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, CCM hairuhusu mgombea wake yoyote hata awe na Phd kurudisha fomu kabla haijapitiwa na wanasheria wa chama. Na hao wanasheria wako wengi sana, sasa niambie chama gani mbali na CCM kina utaratibu huo?Tatizo ni kubwa kuliko unavyo dai, haiwezekani makosa yawe ya upande mmoja. Kuanzia Pemba, Misenyi hadi Mbambabay....... kuna dalili za hujuma.
Tume isionee mtu ifuate sheria hakuna uchaguzi wa huruma |
Pitia post #18 ndio utaelewa.Waccm pekee ndio wanajua kujaza form? WTF ...shame on you!