That is politics my friend there is no general and fixed formular for politicians today is this tomorrow is that.Zitto
Chegeni
Ina maana Zitto Kabwe muongo au huyu Chegeni kawageuka CHADEMA baada ya kukubaliana nao ? Either way, this is not a good look.
Kama alivyosema Fundi Mhundo pale juu na nilivyosema katika posts zilizotangulia, CHADEMA kukumbatia mamluki yeyote anayetoka CCM ni kujionyesha hakina principles, hakijiamini na hakina wagombea wake wenyewe wa kutosha kuweza kuchukua nafasi hizi.
Hiki ni chama kinachotaka kipate nafasi ya kutuongoza watanzania wote kwa hiyo mwenendo wake unatuhusu wote. Hiki si chama cha mpira au burudani!
Amandla.....
Ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi you got a lot of alternatives kama utaona chama fulani hakina maana na hakitaki kufuata ushauri wako leave it chagua chenye maana na endelea kukipa ushauri.
MwanaF1Surely you must be joking. How a party acts as an opposition is the same way it is going to function as a ruling party if it get's the chance to. People can't complain about CCM and it's mechanisms and then when it comes to opposition party to say let them do as they please.The same people and the same norms carry on as a party is given the mandate to control the government so you can't say let them do as they please while my future is at stake whether I vote for it or not.
=======Tuna mi-vyama isiyo na itikadi wala falsafa! Ni mi-vyama ya matumbo ya u-binafsi tu!
Fikiria, mtu mwenye cheo cha Mkuu wa Mkoa, Prof. mzima, Daktari (Mganga) au Katibu Mkuu anaacha kazi hiyo kwa ajili ya kutaka kuwa m-Bunge!
Nilishasema kuwa kadiri taifa linapozidi kuongeza mishahara mikubwa na marupurupu kwa wa-Bunge wetu, ni kukaribisha umwagaji damu!
CCM inajua wazi kuwa rushwa, kadi feki na wizi wa kura vilitendeka. Lakini CCM inafumba machio kwa kuogopa kuwa mafisadi hao na wezi hao kuwaadhibu kwa kuwakataa watahamia upinzani (CHADEMA, hasa). Kwahiyo, ni sharti wakumbatiwe!
CHADEMA, kwa ajili ya kupalilia unga wa ushindi, inawakaribisha, inawakumbatia na inawatuza wakimbizi kutokaa CCm kwa kuwapa nafasi ya kugombea ubunge!
Hiki ni chama kinachotaka kipate nafasi ya kutuongoza watanzania wote kwa hiyo mwenendo wake unatuhusu wote. Hiki si chama cha mpira au burudani!
Amandla.....
Mbinu hizo hizo ndizo zimeitoa Chadema from nowhere to somewhere.Ndiyo maana huwa nazi doubt stratejia za chadema na kuwaona wakurupukaji lakini wenyewe wabishi hawaambiliki.
"hao wanne tayari tumeshakubaliana nao na tunazidi kuwatafuta wengine kama aliyeshindwa jimbo la nkenge ambaye sitamtaja jina kwa sasa ila tuna matumaini ya kumpata pamoja na mwingine wa shinyanga mjini," alisema kabwe.
Zitto kabwe basi atakuwa anafanya kazi kubwa ya kuwashawishi wote waliotema ccm. Hiyo inaleta raha kidogo ingawa ndani yao kuna mamluki watakuwemo
cha muhimu ni kuwa na wabunge wengi wa upinzani, na lengp pia ni kumweka Dk Slaa madarakani,
Ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi you got a lot of alternatives kama utaona chama fulani hakina maana na hakitaki kufuata ushauri wako leave it chagua chenye maana na endelea kukipa ushauri.
tatizo mmoja wa liyekupa thank anangata na kupuliza ,CCJ OYE
Wakuu mnalumbana kujadili wanasiasa? Ukishaita mtu mwanasiasa, tegemea lolole, no surprises anymore!