Waganga rudisheni pesa za wateja wenu waliokatwa ubunge

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
 
Hahahahahaha tatizo liko kwa mvunjaji wa nazi namna ya hiyo nazi kupigwa chini na kutua kulikuwa na makosa
 
Kwani mganga ndo anatoa ubunge?? 🤔 🤔
 
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
waganga nao wana mfumo kama hospital za rufaa unapokwenda ngazi ya juu haina maana urudishiwe fedha zako toka ile hospital ya ngazi ya chini.
 
Huu ndiyo wakati wa kula hela za wanasiasa,ikitokaa hii huwapati tena
Ningekuwa huko kuna wabunge fulani wawili ningesha watandika

Ova
 
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
Haturudishi na hamtufanyi chochote
 
Pana mmoja aliacha kabisa ukurugenzi kwenye wilaya mpya yenye maokoto na jina halikurudi sijui inakuwaje na mganga wake aliyempa ndumba za uhakika wa jina kurudi
 
1000002590.jpg
 
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
Kiendacho kwa mganga hakirudi.
 
Back
Top Bottom