Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,621
- 4,311
Mkuu M7 alishasemaga anayetaka Uraisi sharti aingie Msituni kama alivyofanya yeye!Kama ukitumia jicho la tatu utagundua kuwa wanafanya hivi kwa lengo la Kumn'gon'ga M7.
Mkuu M7 alishasemaga anayetaka Uraisi sharti aingie Msituni kama alivyofanya yeye!Kama ukitumia jicho la tatu utagundua kuwa wanafanya hivi kwa lengo la Kumn'gon'ga M7.
Mbona sioni chochote?
Mbona sioni chochote?
umesahau hao uliowataja ni wabinafsi lakini sifa ya wasukuma ni wachapakazi na wanaotenda haki na kua na huruma na upendo ndo kinachomfanya magufuri afanye yote hayo ila sio ubahili pia hao wapale sio wabahiri ni wachoyo ndio maana unaona waponhivyo walivyo
Huyu JPM tumpe mda wa ndugu, bado ni mapema sana, ushabiki tuache.