Waganda ni Nouma aisee.....!

natamani kuona inafananaje hiyo makitu ya mkono wa sweta, cjawahi ona, lol! it must b funny, khaaaaaa!
 
Mtambuzi hii kali kabisa alafu akipita kademu chenye mvuto kazi ipo akisimama tu yeye ni kilio
 
Last edited by a moderator:
A man is forcibly circumcised in Mbale, Uganda (wenyewe huita Embalu)

2012_6largeimg220_Jun_2012_165951250-500x354.jpg

Wacha wamsaidie Jamaa maana hadi umri huo bado ana MKONO WA SWETA ?? Ni kwa manufaa yake
 
Yaani mtambuzi wee Nouma, anyway sisi kwetu wanatolewa mapemaaaaaaaaa, under ten to twelve years
 
naona mzee kapata ubatizo karudi kuwa kijana...watamkomaje mitaa ya Kawempe, Nakivubo, Butabika, Nakasero, Kiruddu
 
akishapona hapo atakuwa bonge la kidume, kifua mbele, ataoga mtoni kweupeeee bila woga. wamama watamkomaje???!!!!
 
Kweli hii ni nooumaaa! Hivi Mtambuzi, nimefikiria kipuuzi tu, je circumcision ni lazima? Maana nafahamu kuna makabila yenye utaratibu wa kutokufanya hiyo kitu. Na hofu huyo jamaa asije akawashtaki hao waliomshughulikia kwenye tume ya haki za binadamu! :wacko:

Maana hata kama kitendo chenyewe ni muhimu kwa usalama wa afya yake, bado kimefanyika katika mazingira ya kikatili na udhalilishaji mkubwa. Wangejaribu kuheshimu umri alionao na kumtunzia heshima na utu wake, na siyo kumfanyia hadharani hivi!

Kwa kweli wamemdhalilisha sana tu! Hawana ustaarabu hata chembe. Poor man.
 
Kicheko ! hapo jamaa anagugumia kwa maumivu' lakini mwisho wa siku ataona manufaa yake na atajilaumu kwanini alichelewa kuingia katika ''huo uliwengu'' mpya.Manake sasa 'less energy full pleasure!'

No, you are quite wrong!! Circumcision = less pleasure!
 
A man is forcibly circumcised in Mbale, Uganda (wenyewe huita Embalu)

2012_6largeimg220_Jun_2012_165951250-500x354.jpg

Nafikiri watoa huduma walizingatia all the precautions - maanake kuna magonjwa kama ukimwi yanayosambaa kuptia damu na recently inasemwa hata saliva!!
 
Walimchelewesha sana, inaonekana alikuwa mtaalamu wa chenga, lakini mbio za sakafuni.......................
 
EMBALU3.jpg


Gwe baasaze embalu ku mpaka nga takyategeera olw’obulumi


Ngoma bado mbichi mkuu...................!

maskini babu wa watu anaona nyota tuu lol
mie huku hadi mwili unasisimka kwa kuona hicho kidonda looh
mfikishie pole zake
 
Back
Top Bottom