Waganda ni Nouma aisee.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waganda ni Nouma aisee.....!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, Sep 3, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  A man is forcibly circumcised in Mbale, Uganda (wenyewe huita Embalu)

  [​IMG]
   
 2. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Aisee, hii kali Mtambuzi.
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Gwe baasaze embalu ku mpaka nga takyategeera olw'obulumi


  Ngoma bado mbichi mkuu...................!
   
 4. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kicheko ! hapo jamaa anagugumia kwa maumivu' lakini mwisho wa siku ataona manufaa yake na atajilaumu kwanini alichelewa kuingia katika ''huo uliwengu'' mpya.Manake sasa 'less energy full pleasure!'
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Isee, shughuli inafanyika katikati ya muji, ee bwana, si mchezo
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Uzee wote huo alikuwa bado hajapata jando!!
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kweli hii ni nooumaaa! Hivi Mtambuzi, nimefikiria kipuuzi tu, je circumcision ni lazima? Maana nafahamu kuna makabila yenye utaratibu wa kutokufanya hiyo kitu. Na hofu huyo jamaa asije akawashtaki hao waliomshughulikia kwenye tume ya haki za binadamu! :wacko:

  Maana hata kama kitendo chenyewe ni muhimu kwa usalama wa afya yake, bado kimefanyika katika mazingira ya kikatili na udhalilishaji mkubwa. Wangejaribu kuheshimu umri alionao na kumtunzia heshima na utu wake, na siyo kumfanyia hadharani hivi!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Itakuwa mademu wamepiga kibuti sana kwa mkono wa sweta, atlast akaamua kufanya kweli
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Medieval circuses.
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwetu TZ mbona Mbeya wako mkuu? Kule kuna kampeni ya DFP inaitwa dondosha mkono sweta!! Iamgine ukivuta mkono wa sweta si unafanana na ile kitu!!! Khaaa menya ndizi.
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nyani Ngabu alijesemea kuwa miafrika ndivyo ilivyo kweli nimeelewa.
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Asieee!!! Hii ni mwisho wa zote.
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na wewe mzee una mambo!!!!!!!!!
   
 14. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nataka ni-introduce hii kitu Keyrwa na Misenyi. Kuanzia Bwanjai mpk Kashosho manake watani zangu wamezidi ukaidi.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ahahaha! Mkuu siku hizi watu wamebadilika pande za kule bana! sio kama zamani.
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wanamuonea tu babu wa watu,kwani mke wake amewalalamikia..??
   
 17. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nakwambia ana mambo kidogo?ah we ngoja ifike ijumaa hapa na zile stori zake!love yu mtambuzi
   
 18. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  hilo neno ila ana changamoto nyingi kama akimkumbuka partner wake nadhani nyuzi zikifumuka itakuwa ni issue
   
 19. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  women like men who are circumcised because they like 10% off for everything
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  hii ni mkono sweta kwani huko usukumani si unaiskia?
   
Loading...