Sidhani kama ni kweli,ingekuwa hivyo wangempigia kura.....cha zaidi nadhani wanataka muafaka wa kitaifa,yahya jammeh asibugudhiwe maisha yasongeLeo nimepitia pages na groups nyingi sana za Gambia raia wengi wanampenda na kumkubali jammeh
Nahisi kuna mchezo unachezwa behind the scene juu ya huyu rais.
Huyu Adama Barrow anakula kiapo huko Senegal
Senegal inataka iimeze Gambia
Na kama wa-USA wengi wanavyompenda Clinton, haimaanishi ndio umeshinda uchaguzi.Kama wana JF wamoendavyo Lowasa!
Duuh hii nimeipenda sana
Wanampenda kama raia sio kama rais wa nchi. Hiyo ni kawaida.Leo nimepitia pages na groups nyingi sana za Gambia raia wengi wanampenda na kumkubali jammeh
Nahisi kuna mchezo unachezwa behind the scene juu ya huyu rais.
Huyu Adama Barrow anakula kiapo huko Senegal
Senegal inataka iimeze Gambia
MKUU,Na kama wa-USA wengi wanavyompenda Clinton, haimaanishi ndio umeshinda uchaguzi.
Mnafiki jamaa@ mkuuTuletee ushahidi unaonyesha Jammeh anapendwa
Russia walihack ile system ya uchaguzi GambiaKama wanampenda why walimchagua barrow