Sir Good
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 1,031
- 413
nini maana yake?Dhambi kubadilishana mke kama desturi ya wagogo bonde la uranium; kule tarafa ya Chipanga na Unyambwani !
{1KOR 6:15~18}
nini maana yake?Dhambi kubadilishana mke kama desturi ya wagogo bonde la uranium; kule tarafa ya Chipanga na Unyambwani !
{1KOR 6:15~18}
Wakuu nimesoma gazeti la (Tanzania Daima) la leo Novemba 3, 2014 nimeiona hii taarifa nikafikiri ni vyema tukashere kwa pamoja.
Kwa kifupi mazingira ya tukio wanaume hao kila mmoja alikuwa na mke wa mwanaume mwenzake na walikutana kwenye nyumba ya kulala wageni, ndipo walipoamua kufika kwenye uongozi wa Kijiji hicho na kukubaliana mbele ya viongozi wa kijiji kuwa wabadilishane wake zao ili kila mmoja asimlaumu mwenzake kuwa alimfumania.
![]()
Itakwaje kama nia ikikuwa kuchepuka na unampenda mkeo
hapo inabidi ulipe faini urudi na mkeo kwako
Watoto pia wamegawana ama vipi?
Theresia doreen umesikia? acha hizo ndiko unaelekea
Binaadam hawaridhiki pamoja na hayo wanaweza chepuka tena kwa hao waliobadilishana na wanaweza pia kuchepuka kwa wengine tofauti na hao, sasa sijui watakuwa wanaendelea na mchezo wa kubadilishana maisha yao yote!nawaunga mkono kwa 101% kwa ubunifu huu kwani imesaidia sana kupunguza kulaumiana kati ya hao marafiki 2 walioamua kwa riadha yao kubadilishana papuchi. hii imekaa vizuri sana.
itakwaje kama nia ikikuwa kuchepuka na unampenda mkeo
Halafu baada ya kubadilishana wake,wataingia tamaa tena na kutoka nje ya ndoa ya mwenzie