Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Mkuu hizo species ni ngumu kuzipata. Juzi hapa kuna jamaa yangu alitaka kununua katoto ka Cane Corso, bei yake tu ni over USD2500 halafu bado hujalipia mambo kibao kama vibali, usafiri n.k

Nadhani kama mtu ana mtaji akaweza ku breed species mbalimbali hapa bongo anaweza kupiga hela.
Duuh maana naona hao malamute n wanapendeza hata kuwatazama.
 
nawapenda sana boerboel ila nahisi watakua na bei watu huwaogopa wakatili lakini pia ni fashion ukiwa unatembea nae
 
Nimepewa mbwa na mzee

wangu kama zawadi,

Ameshakuwa mkubwa kiasi

nimeenda kuwasalimu wazee

nikampenda mzee akanipa

ruhusa kumchukua.

Leo siku ya tatu niko nae

nyumbani ninapoishi

Ila kuna muda kananibwekea

na kunifukuza mpaka mimi

mwenyewe ninayempa

chakula,

Nitumie mbinu gani ili anizoee
haraka asije kunijeruhi siku
moja???
 
Nimepewa mbwa na mzee

wangu kama zawadi,

Ameshakuwa mkubwa kiasi

nimeenda kuwasalimu wazee

nikampenda mzee akanipa

ruhusa kumchukua.

Leo siku ya tatu niko nae

nyumbani ninapoishi

Ila kuna muda kananibwekea

na kunifukuza mpaka mimi

mwenyewe ninayempa

chakula,

Nitumie mbinu gani ili anizoee
haraka asije kunijeruhi siku
moja???
Usimfungie mfungulie aende mtaani kutongoza akiumwa njaa atakula mavi ya walevi
 
Mkuu hizo species ni ngumu kuzipata. Juzi hapa kuna jamaa yangu alitaka kununua katoto ka Cane Corso, bei yake tu ni over USD2500 halafu bado hujalipia mambo kibao kama vibali, usafiri n.k

Nadhani kama mtu ana mtaji akaweza ku breed species mbalimbali hapa bongo anaweza kupiga hela.
breeder wapo wengi tu kuna natty dog, ph kennel, hand dog

hao wote wanauza mbwa mpaka wa milioni 10
 
1688621461672.png

Cane Corso 🇮🇹🇮🇹🇮🇹
 
Fahamu pia kuhusu German shepherd wa asili ya kitanzania: Kuna Tanzanian Local line ya German shepherd!!! Hawa ni wazuri sana pia kwa ulinzi. Wana miili midogo kiasi, na wana manyoa mafupi. Ila hata hawa local type wana masikio yaliyosimama wanayoweza kuyachezesha. Kwa kigezo cha masikio huwezi kuwatofautisha na German shepherd wa kizungu. Midomo yao ni mifupi, lakini ni wakali balaa!!! Kwa wanyamwezi mbwa hawa huitwa mbwa wa KIPUGE!! Tatizo lao ni kwamba ni vigumu kuwafundisha hata wakawa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa mfano ukimpa nyama huwezi ukamnyang'anya!, atakuuma hata kama wewe ndo bwana wake!! Ukishika mtoto wake halafu huyo mtoto akalia uhesabu maumivu!! Ni vigumu kumfahamisha mipaka ya nyumba anayohitajiwa kufanya ulinzi. Kwa hiyo akimfukuza mtu atamfuata hata akitoka kwenye eneo la nyumbani. Akianza kumshambulia mtu ni vigumu kumzuia!! Tofauti kabisa na German shepherd aliyefundishwa, anashambulia kwa amri, ni mtiifu sana kwa bwana wake, kwa vyovyote vile hawezi kabisa kumshambulia bwana wake!!
 
Aiseeee, kumbeeee
 
Vipi pia kuhusu Pitbull hamna wakibongo bongo...?
 
Nakaribia kuanza sasa biashara ya Mbwa rasmi. Wanakua vizuri. Nilikuja na kusema nimeanza kununua. Soon tunaingia sokoni. Mnikaribishe ndugu zangu.
 
Mimi ninao watoto wa German Shepherd. Kwa sasa wana wiki 5. Nitaanza kuwauza wakifikisha wiki 6-8. Atakayebaki bila kununuliwa baada ya wiki 8, huyo sitamuuza tena. Nitakuja kumuuza aliwa na mwaka mmoja nivute pesa ya kufa mtu!!
 
Japo vipicha kiongozi
 
Back
Top Bottom