Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Hio mbwa ya pili kwrnye picha zimeamia shambani hapa hm zipo 3 tunampango wa kuziua kama muhusika hatatoea maana mpk yanaogopesha yalivyo makubwa
 
Hii ilimkuta maza mwaka jana kuna GS alihamia Hm mwenyewe akawa kashatozoea fanilia usiku wa kuamkia x mas ya mwaka 2019 maza katoka nunua vitu kafika hm mbu akamjerui kwa kumng'ata asubui ilipofika nae tulimpeleka mbinguni sasa sahivi wameamia wa3 hapa home hao now ni plan za kuwaua tu maana hatutaki matatizo maana inaonekana hawa ndo pure kabisa si watatumaliza
 
Wapi huko chief mnapata mbwa wazuri namna hiyo wanahamia tu.
 
Mkuu huyu naona ni Belgian Malinois BM????
Hawa mbwa huwa wazuri sana kwa ulinzi, jspo ni wsksli mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu ni Golden shepherd, parents wake ni GSD sema madume yalikua mawili mmoja Golden GSD kama huyu na mwingine ni GSD mwenye black and brown coat .


Few years from now you may wish you should have started today...
 
GSD

full vaccinated

2 months

200K

dsm
 

Attachments

  • IMG_8165.jpg
    8.8 KB · Views: 22
  • IMG_8159.jpg
    12 KB · Views: 20
  • IMG_8163.jpg
    11.4 KB · Views: 20
  • IMG_8160.jpg
    11.6 KB · Views: 22
Hiki ni chuma gani wakuu?
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu ninauza mbwa wangu Boerboel 1m tu, mkubwa, mbavu nene ni mtata sana ila pia ana mafunzo akikuzoea ana obey order hata kwa watoto wadogo anakuwa friend. Serious buyer nicheki PM napatkana Mwanza big bite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…