Wafuatao.................

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Watu hawa always huwa wananifanya nifungue JF hata kama sicomment wala kupost kitu chochote;
snowhite - You are my partner you know
Kongosho - Kitu ya muzungu you always make me laugh
Lizzy - Ah we naye umepotea sana bhana
AshaDii - My sister i always get something from you
Preta - Wa zamani kabla hajabadili jina na baada ya kubadili mwanzoni mwanzoni
Bujibuji - I laugh when i read something from you
Madame B na Evelyn Salt - Wataalam wa lile jukwaa letu la kule chini
afrodenzi - My old sweetheart
sweetlady - She gave me the name i am using now
Mamndenyi - You know why you are important to me
Arushaone - Respect brother
Bishanga - ...............................!
FaizaFoxy - Enzi hizo za politiki
charminglady - Dada jirani

Kama nimekusahau utanisamehe
 
Last edited by a moderator:
partner hii ya kunifanya nikumiss hiv hii itabidi niiweke kwenye pendekezo la katiba ili uwe unanisalimia kila siku hata kabla hujaenda kuhemea ndege kwenye shamba letu la mpunga!
manake mwee!
unaadimika sana bana!
 
partner hii ya kunifanya nikumiss hiv hii itabidi niiweke kwenye pendekezo la katiba ili uwe unanisalimia kila siku hata kabla hujaenda kuhemea ndege kwenye shamba letu la mpunga!
manake mwee!
unaadimika sana bana!
Partner, ni jukumu langu kukujulia hali wala haihitaji kuwa kwenye katiba,
Nakukumbuka ujue, iwe mchana usiku hata kwa mola niombapo toba,
Ni majukumu ya hapa na pale, si unajua nikizubaa ntajibeba?
 

hahahahaaa.... kaka jiraniiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!! :humbled:
 
M'Jr umenikumbusha long time kichizi, niliandikiwa barua na kibinti, barua yenyewe ilikuwa ya mapenzi, kwa kuwa nilikuwa mtoro, sikuwa na uwezo wa kusoma mcharazo hivyo basi nikamuomba dingi mkubwa anisomee, akakubali, ili asijue kilichoandikwa ndani ya barua hiyo nikamziba masikio.
Naye ndingi mkubwa alivyo bazazi, akawa anasoma huku akiufunika ukweli:-
Kwako Bujibuji niliyekuwa nakupenda kama kidole kiipendavyo kucha yake,
nasikitika kukujulisha kuwa moyo waangu wote nimempa baba yako mkubwa,
nikiamngalia kile kipara chake najikuta natamani nimparamie mwilini.
Midevu yake na sharafa zake kwa kweli zinasisimua sana kiasi cha kunifanya nikuone Bujibuji huna thamani mbele yangu.
Sasa nakutamkia rasmi kuanzia leo mi sikutaki, na umwambie baba yako mkubwa aje alete ng'ombe nyumbani kwetu.
Kusikia hivyo mzee nikajikuta nimesha haribu, tumbo la kunanilii sijui liliko tokea.
Kuona nimekuwa hivyo, dingi mkubwa akatoka nduki, eti aende zizini kuswaga ng'ombe, nikamwambia hapa patachimbika
 
Last edited by a moderator:

Hahaha ila cha msingi hakusikia kabisa alichosoma.
 
Last edited by a moderator:

I tend to agree with you, "enzi hizo".

Kwa sasa kuna ujinga usio na kifani uliojazana JF. Yanayotuleta ni mazoea tu lakini si hoja zenye maana.
 
I tend to agree with you, "enzi hizo".

Kwa sasa kuna ujinga usio na kifani uliojazana JF. Yanayotuleta ni mazoea tu lakini si hoja zenye maana.

Kweli kabisa dada, siku hizi mimi inaweza pita wiki nzima sijaingia jukwaa la siasa coz 90% ya posts ni "Fitina na Majungu" it's no longer my favorite group
 
Note ; Hapa sijapaelewa-elewa !
Wanaotakiwa ku'share huu Uzi ni wale tu maalumu waliotajwa hapo juu tu , au?
Coz nikiangalia mtiririko tokea juu sijaona Member aliye'share tofauti na waliomesheniwa! Probably Mtoamada ungetusaidia dodoso ndani ya hadidu .
 
Okay lemme think and get ready to answer you
 
yaani hata mie dada yakko wa ukweli umenisahau jamani heeee haya bhana
 

yaweza kuwa kweli ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…