Wafuasi watatu wa CHADEMA wamwagiwa tindikali Arumeru

Hivi kama umetulia mwingine atakujaje kukufanyia maafa makubwa kama haya? Sishabikii watu kuumizwa bali nawaasa viongozi wachadema wahubiri amani na uvumilivu zaidi ya kauli za jazba jamani. Mwenzenu napata shida kumuhubiria mama yangu kwanini achague CDM na wala sio magamba yote hii ni kwasababu kila akiona CDM ni habari za vurugu, kwani kuwa kijana ndo kuwa mbabe? Embu rujirekebishe hawa wazazi wetu hawaelewi haya na hasa ukizingatia wao ndo wenye kadi za kupigia kura yangu ni ya Mwanza nateseka kupoteza hizi kura mbili jamani
Jitahidi kusimama katikati na uwe mkweli, wanaotoa kauli tata tunawasikia na kuwaona kutoka pande zote BWM aliziasisi lakini Wasira akazipalilia na kutia mbolea, kwanini zisistawi?
 
Hivi kama umetulia mwingine atakujaje kukufanyia maafa makubwa kama haya? Sishabikii watu kuumizwa bali nawaasa viongozi wachadema wahubiri amani na uvumilivu zaidi ya kauli za jazba jamani. Mwenzenu napata shida kumuhubiria mama yangu kwanini achague CDM na wala sio magamba yote hii ni kwasababu kila akiona CDM ni habari za vurugu, kwani kuwa kijana ndo kuwa mbabe? Embu rujirekebishe hawa wazazi wetu hawaelewi haya na hasa ukizingatia wao ndo wenye kadi za kupigia kura yangu ni ya Mwanza nateseka kupoteza hizi kura mbili jamani

Mwambie mama yako ukweli kuwa CCM wanapigania kulinda udhalimu wao kwa kuuwa, kuiba kura na kutumia vibaya vyombo vya dola.
 
Wewe jamaa unaamini kila upuuzi unaoletwa na CDM wenzekao nani kamwagiwa tindikali?

Hamjaenda mahakamani kumshitaki aliyemmwagia tindikali yule wa Igunga kwa sababu alimwagiwa na vijana wa CCM, acha mauaji ya Mbwana wakala wa CDM, na sasa tunasubiri kuokota mwili wa Omary aliyeoneka mara ya mwisho na Beno Malisa Triple A. YOU ARE NAKED AND YOU WILL BE EXPOSED
 
On the defensive!!

Huku tukiwa bado tunatafakari MATUSI YA ANAJIITA MBUNGE WA MTERA MAANA SISI WENGINE TUNAJUA MBUNGE MZEE MALECELA ILA KWA SASA HATUNA MBUNGE, TENA LINAKUJA HILI? Tatizo la VIONGOZI WETU WANAYAPENDA YA LIBYA NA TUNISIA KWA VITENDO ILA KWA MANENO WANAYAKATAA. OLE WENU WATANZANIA SIKU SILAHA ZIKIANZA KUUZWA KAMA PIPI MTATAFUTA HELA MUITISHE BUNGE LITENGUE SHERIA HIYO HAMTAFANIKIWA. NASEMA OLE WENU MNAODHANI SIASA NDIO UZIMA NA MAKUSUDI YA MUNGU KWA WANADAMU, NASEMA OLE WENU MNAOPOTEZA DHAMIRA YA WAASISI WA TAIFA LETU HAYATI NYERERE NA KARUME, NASEMA OLE WENU MNAODHANI MPO SALAMA MASAKI NA OYESTABAY KUMBE WAJUKUU WENU WAMEAMZA KUENGEULIWA UKURUGENZI WA MAKAMPUNI NA MALI MLIZOWAIBIA WATANZANIA, NASEMA OLE WENU MNAHUBIRI AMANI NA UTULIVU KIMATENDO MNATUKANA NA KULETA FUJO NA SEMA OLE WENU CHAMA CHETU NYERERE KAKIACHA SALAMA NA KARUME NYIE MNAKIVURUGA HAPO TUTAKAPOSEMA ENOUGH IS ENOUGH CHADEMA WANATINGIA IKULU NA HAPO UMMA WA WATANZANIA UTAAWADHIBU KWA FIMBO KUTOKA KWA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.
 
HALI ya siasa katika jimbo la Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki,imechukua sura mpya, baada ya wafuasi watatu wanaodaiwa ni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumwagiwa kemikali inayosadikika kuwa ni Tindikali,kwenye macho na kusababisha kijana Zablon Yusuph (28)kulazwa hospitali ya Nkoaranga wilayani Arumeru.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa waathirika hao, Emmanuel Timoth,
alisema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa
9.00 usiku, eneo la Leganga, kwenye baa inayojulikana kwa jina la Elephanti.
 
hali ya siasa katika jimbo la uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki,imechukua sura mpya, baada ya wafuasi watatu wanaodaiwa ni wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), kumwagiwa kemikali inayosadikika kuwa ni tindikali,kwenye macho na kusababisha kijana zablon yusuph (28)kulazwa hospitali ya nkoaranga wilayani arumeru.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa waathirika hao, emmanuel timoth,
alisema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa
9.00 usiku, eneo la leganga, kwenye baa inayojulikana kwa jina la elephanti.

poleni sana makamanda mungu atawajalia afya njema
 
CCM Hakika watavunja amani ya taifa hili kwa kulewa madaraka. Hawajali tena maslahi ya taifa letu tena zaidi ya maslahi binafsi.
 
CCM Hakika watavunja amani ya taifa hili kwa kulewa madaraka. Hawajali tena maslahi ya taifa letu tena zaidi ya maslahi binafsi.
 
Hapo Elephant ndio ngome ya CDM na ndipo viongozi wote wa CDM anapokutana na wenginw wanalala hapo.Huyo mwana CCM alikwenda kutafuta nini hapo?,sasa wana CDM acheni ujinga,watu kama hao chapeni wanawazoea vibaya...
Chapa chapa chapa makofi...
 
poleni sana makamanda wetu. Mungu atusaidie. Naomba mungu anisaidie nione ukombozi wa Tanzania. nikishindwa watoto wangu waishi tanzania ya amani na huru
 
CCM wamelipiza kisasi kwa yale yaliyotokea Igunga. Inabidi wahusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria
 
HALI ya siasa katika jimbo la Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki,imechukua sura mpya, baada ya wafuasi watatu wanaodaiwa ni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumwagiwa kemikali inayosadikika kuwa ni Tindikali,kwenye macho na kusababisha kijana Zablon Yusuph (28)kulazwa hospitali ya Nkoaranga wilayani Arumeru.

Akizungumzia tukio hilo mmoja wa waathirika hao, Emmanuel Timoth,
alisema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa
9.00 usiku, eneo la Leganga, kwenye baa inayojulikana kwa jina la Elephanti.

by cZg: kha! Nianze na pole kwa wahanga hao wa tindikali bt niwakti pia wakuhoji wauji waweza tuletea amani?
 
Kada wa chama cha chadema kwa huko arumeru amemwagiwa tndikali maeneo ya usa river .....katika
jimbo la arumeru mashariki......zikiwa zimebaki siku mbili uchaguzi.......hii wadu imekaaje

source :mtanzania magazine
 
Back
Top Bottom