wafu wa2 wanaendesha baiskel

wafu wa2 wanaendesha baiskel

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,578
Mwl wa kiswhl alikua anafndsha akatnga sentensi "wakati naendsha baiskel kuja shule nimeona maiti mbili" kuna mwanafunzi alikua hasikilizi, mwl akamwambia rudia nilichosema akajibu "nimeona maiti mbili wakiendesha baiskeli kuja shule"
 
Dududuuuuu denti katisha dot com hao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom