wafanyakazi wakigoma wanasiasa wanaongezwa zaidi.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
siasa ndio uti wa mgongo wa taifa hili,kwani wamekuwa wakiongezewa vipato bila visingizi vya uchumi mdogo wa taifa,MADIWANI WAMEONGEZWA KWA ZAIDI YA ASILIMIA MIA,WABUNGE NA MADIWANI WANALIPWA TENA VIWANGO SAWA BILA KUJALI TOFAUTI YA ELIMU AU UKUBWA WA MAJIMBO YAO.
 
Tuwaachie wao wakatibu watu wakafundishe,wakakate tiketi na wawe mapolisi maana
watu wengine wamekua hawana maana kabisa angalia madaktari na waalimu
 
Back
Top Bottom