Wafanyakazi wa NMB Bank!

Wafanyakazi wa NMB Bank!

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
 
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
 
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.

Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
 
Kabisa, ni lazima tubadilike! Huo ndio Mwarobaini wa sehemu kubwa ya Matatizo yetu
si vinginevyo!
Na ni lazima tuanzie kwenye ngazi ya Familia kupanda juu!
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Una mkono wa birika weye. Hebu wape elfu tano uone watakavyokuwa wanakuchangamkia
 
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.

Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
sijui hii elimu ya customer service ingeanza kufundishwa toka chekechea!naaam tukue na hii elimu labda itatuongezea ustaarabu!
 
ushawahi kwenda pale crdb mlima ukakutana na yule binti mweupeeeee...sijui wa mkurugenzi!!!

Kuna siku kadi yangu ya benki ilinasa namanga kwenye ATM ya CRDB, maelezo kwenye risit yanasema hiyo ATM inahudumiwa na CRDB nlimani branch, kesho yake nilipoenda mlimani na kukutana na wahudumu wa CRDB, niliishia kurudi kwenye benki yangu na kuomba ATM card mpya.
 
umeona eeeh!hivi hizi kozi za kutujali wateja huwa si sehemu ya masomo yao!
 
Makampuni yaliyopewa tuzo ya kuwa super brand kutoka secta mbalimbali ni kama ifuatavyo......NMB imeongoza kibenki kwa huduma kwa mwaka 2012,ITV kwenye television.......iyo ni tafiti kaka asa tukuskize wewe au trusted research and statistics company
 
sijui hii elimu ya customer service ingeanza kufundishwa toka chekechea!naaam tukue na hii elimu labda itatuongezea ustaarabu!

Kwa mtazamo wangu tatizo ni zaidi ya elimu ya customer service, watanzania wengi hatupendi kuwajibika kwenye maeneo yetu ya kazi. Ila kwa hali inavyoendelea na soko la ajira linavyozidi kuvamiwa na wageni tutabadilika tu.

Ushawahi kuona mzungu anasoma kitabu cha time management, au sijui how to be effective at work, anakushangaa kwa sababu hivyo ni vitu amejifunza tangu ngazi ya chini na anajua anachotakiwa kufanya na wajibu wake ni nini kama mfanyakazi/ mwajiriwa.

Sisi mtu una miaka 5 hadi 10 kazini unajigamba umehudhuria semina ya time management unabandika na cheti ofisini.
Sikatai kujifunza hivyo vitu, ila tunachelewa sana.
 
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
kweli kabisa watanzania wote mkuu,mtu akivaa kitai full nyodo,mwizi,mvivu
 
Makampuni yaliyopewa tuzo ya kuwa super brand kutoka secta mbalimbali ni kama ifuatavyo......NMB imeongoza kibenki kwa huduma kwa mwaka 2012,ITV kwenye television.......iyo ni tafiti kaka asa tukuskize wewe au trusted research and statistics company

Mkuu sio NMB ni CRDB. Cheki record zako fresh
 
Back
Top Bottom