pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 249
- 489
Mshahara wa nesi mwenye diploma serikalini ni laki tano na sabini baada baada ya makato yote kwa mshahara huu hawa watu hawawezi kupiga pamba zenye viwango.....Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
Nimelia sana🥹🥹 kanda ya ziwa tuhamishiwe tu UgandaKuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.
Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.
kaulize huyo nesi kwa wahindi analipwa sh ngapi kama sio 200,000Mshahara wa nesi mwenye diploma serikalini ni laki tano na sabini baada baada ya makato yote kwa mshahara huu hawa watu hawawezi kupiga pamba zenye viwango.....
Nani kakudanganya wewe, nenda akagkhani na kwingineko ukaulizekaulize huyo nesi kwa wahindi analipwa sh ngapi kama sio 200,000
Mavazi yataongeza ufanisi kazini?Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
Wewe ni mjinga tena sana , Agha khan ni ile ya UPANGA isiyopokea BIMA za NHIF za kawaida,kauzile hao manesi wa center za Aghakhan mfano Aghakhan Kimara wanalipwaje,Nani kakudanganya wewe, nenda akagkhani na kwingineko ukaulize
wameona ujumbe huu na bilashaka watauzingatia 🐒Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
Kwa hiyo watu wa pwani kuvaa madera mnaona dili au sioKuvaa vizuri ni tabia ya mtu. Kuna watu nawajua wana hela nzuri tu lakini uvaaji wa hovyo kabisa.
Ila watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuvaa hovyo.