Wafanyakazi, hakikisha una watu 20 ambao watajiandikisha kupiga kura mwakani, hao watakuletea nyongeza ya mshahara, short of that "kenua" meno

Tatizo wabongo huwa tunavumilia sana mambo yasiyofaa...walimu wanapungia mkono kwa kiherehere MTU anayewafanya wanaishi kwenye kijichumba kimoja,chakula shida,mavazi hovyo...yaani basic needs tuu zinasumbua food,clothing na shelter alafu eti ndiyo wanaowapa watoto wetu ufunguo wa maisha!!!
MTU anajenga hovyo ili asifiwe kwakuacha vitu vinavyoonekana anashindwa kubalansi na maisha ya watu. Unadanganya wafanyakazi eti nikiongeza na bei zitaongezeka swali ni kwahivyo hatokaa kuongeza??
 
Nimeanza kuhisi wewe ni trained robot. Huwezi binadamu mwenye utimamu wa akili akawa anaunga mkono mabovu yote bila kuchuja.
Upumbavu wenu mnashikiwa akili,na vi thread vya kina retired,hotuba ya rais Magufuli imeeleza kwa uwazi multplier effects ya hatua inazochukua serikali kwa ajili ya wafanyakazi,kaeleza kwa kina kabisa,nyie mnawaza mshahara tu,

"Poor dady",lets say leo angeongeza elfu hamsini kwa kila mfanyakazi ingewasadia nini?
Ikiwa huduma za afya ni duni,nauli kutoka sehemu moja mpaka nyingine ni kubwa kutokana na ubovu wa barabara,chakula bei ghali nk,
Msiwe wa kushikiwa akili kila mara,pambanueni mambo,ushabiki ni utumwa,na kupinga kila kitu sio werevu.

Asilimia 50 ya wafanyakazi nchini ni walimu na kasema namna anavyowa handle positive toka 2015,kipi hua hamuelewi mbwiga nyie,

Data alizotoa leo hata vyama vya wafanyakazi wanazo na wanauhakika na kinachofanyika.
Ifike mahala muache bangi ,bangi mbaya
 
Back
Top Bottom