HUMUUbaa medi ushageuka hot cake.
Wewe ni "NSHOMILE" wa kwanza kusema UKWELI....Kwa kweli hili ni balaaa. Nimemuonamo na ndugu yangu. Mbona alisoma namuona lakini!!!!
Is like your saying, huwezi kupata nguo nzuri kutoka katika pamba iliyooza (Ndalichako, 2016)Binafsi kwa namna yoyote ile siwezi kumuelewa yeyote anayefanya utetezi wowote kwa mtu ambaye amegushi cheti na hasa kwenye sekta ya afya, huku ndiko kunafaa serikali iwe kali kama pilipili.
Tungependa zoezi hili lisiishie kwa wafanyakazi wa sekta ya umma bali lifike hata sekta binafsi, na kama ni ngumu kufika huko basi angalau hospitali zote binafsi nchini na vyuo vikuu binafsi vyote nchini,huko tunaweza kukuta MASTERS na PHD fake,wataalam wanaozalishwa kutoka vyuo binafsi kama wana elimu fake pia tutegemee products fake,products ambazo pia zitakuja kuwa watumishi wa umma pia na sasa watakuwa ni wataalam wenye vyeti original lakini wamefundishwa na wakufunzi wenye vyeti fake na kwa hiyo ubora wao kuwa na shaka.
WATAALAM WA AFYA HOSPITALI BINAFSI na WAKUFUNZI VYUO VIKUU BINAFSI nao WAKAGULIWE VYETI.
hahahahaSafari hii tujiandae kuoa.
Ajira zitangazwe haraka ndugu na jamaa zetu wapate ajira. Hongera magufuri. Ccm mbele kwa mbele.
By
Babu okotookota wa Ifakara
Kuna field nyingine vyeti muhimu mkuu yani cheti kinamata hundred percent.Jambo la vyeti lilianza kwa JK lakini JK alijua madhara yake kwa Jamii na hatma ya wahusika akaliacha lakini kiukweli litaumiza watu wengi sana huko tuendapo
Kuna tatizo kubwa sana la Waafrica kuamini makaratasi(vyeti) sana na hii imepelekea hata wanafunzi kuwa watumwa wa vyeti kuliko kilichowapeleka Shule au vyuo (Elimu na maarifa) Kwa kujua Cheti ndio kila kitu kuliko Knowledge
Kama alisoma aende necta.... wakamueleze vizuriKwa kweli hili ni balaaa. Nimemuonamo na ndugu yangu. Mbona alisoma namuona lakini!!!!