Kwa kweli hili ni balaaa. Nimemuonamo na ndugu yangu. Mbona alisoma namuona lakini!!!!
Pengine alisoma akafeli akatengeneza CSEE yake usishangae Kama ameonewa atakata rufaa.Kwa kweli hili ni balaaa. Nimemuonamo na ndugu yangu. Mbona alisoma namuona lakini!!!!
Nashukuru mkuu.Poa ngoja nijaribu kurekebisha