Wafanya usafi maofisini


Hahahahaha nimecheka hiyo N.B lol
 

well said my dear.... usikute huyo mdada anamzid mshahara hajui tu!!!!
 
Dharau siyo nzuri, kazi ni kazi tu. Wapo wengine ambao wamesoma kwa wazazi wao kuuza pombe za kienyeji na wengine kufagia hata barabarani na ndiyo maana uko hapo ulipo sasa hivi.

Kwani huyo unayelala naye unaijua foleni yake.
 

Trust nobody, mkuu.
 
Uliponea kwenye tundu la sindano.Ila nilichogundua hapo wafanyakazi wa kiume wanatumia advantage ya kumpa nauli kumuomba papuchi sasa na yeye ameona ndio mchezo mwisho wake imekua tabia
 
Ukiona mwanaume anajishaua hivi,ujue amelelewa malezi ya kuku wa broila,na watu kama hawa ni ngumu sna kwao kuweza ku-socialize na jamii tofauti.Mabwege kama hawa hata kufanikiwa kwao kunategemea wazaz wao in a 95%,hawana ujasir wa kuthubutu kwa lolote.
 
Mtoa Mada...kamalizie utafiti urudi na mrejesho...hao waliompitia wote walitumia kondom??wangapi hawakutumia kondom???
 
Kwanza acha kudharau kazi za watu na pili kuna huko uswahilini wanaishi kina nani? siyo binadamu wenzio? yawezekana hata kazi uliyonaye n ya mchakato hata sifa huna. So take care
 
Mtaendelea kuambukizwa na mimi nasema muambukizwe tu maana hatuna namna nyingine....kubaki njia kuu hamtaki,kutumia condom mnaona mzigo tuwasaidieje watu kama ninyi(nakuambia wewe kwa niaba ya hiyo floor nzima)

Khantwe wewe ni binti wa rahisi mtarajiwa? Naona mnafanana swaga za kuongea!
 
Inaelekea unamtaka lakini tatizo ni maskini, anakaa uswahilini, anafanya kazi ya usafi (daraja la chini), ametembea na wanaume floor nzima!
Lakini angekuwa si maskini, hakai uswahilini, ana kazi yenye hadhi lakini bado ametembea na wanaume floor nzima isingekuwa tatizo kwako?
Kwa mwanaume wa kweli, mwamamke ni mwanamke tu bora akidhi vigezo vinavyomvutia bila kujali kazi na umaskini wake. Mfagizi hanogi?
 
Hata hapa ofisini kwangu yupo lakini siwezi kujilegeza kwake hata siku moja, jitunzie heshima yako.
 

Hawa ndiyo wale wale kabla ya ku graduate kashapatiwa nafasi na mzee wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…