Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Pole sana
 
Mkuu umechanganya madesa hebu andaa uzi wa hao watu wawili alafu tuwachambue maana mimi tayari niko ķwenye reseach mwaka wa nne huu nawajua hao wote wawili wanafanyaje na psychopath uzi wao nauandaa utajua utofati
 
hao ni wale wa waliokuwa na hii hali ukubwani ila hawa ambao ni asili yao tangu utotoni ni ngumu kukuacha hai na na huwa hawajitambulishi kuwa waliteswa nyuma
 
hao ni wale wa waliokuwa na hii hali ukubwani ila hawa ambao ni asili yao tangu utotoni ni ngumu kukuacha hai na na huwa hawajitambulishi kuwa waliteswa nyuma
Sawa kabisa! huyu ninae mjua mimi. huwa anasema hivyo!
 
Nimependa sana mada yako! Mungu akubariki umalize salama huo utafiti wako! tena Mungu akupe mafanikio makubwa ktk utafiti wako!
 
Most mental health professionals define a psychopath as a predator who takes advantage of others using charm, deceit, violence and other methods to get what they want.
 
Mkuu social path,nadhani kama jina lenyewe,ni antisocial hawapendi watu,ila wale wanaouani ma psychopath,sijui lakini................

afu mbona umefunga PM yako bwana...
 
sidhani kama wanaenda kote mpaka kuua mtu,wao ni antisocial hawana urafiki na mtu,ila kuua nadhani ni ma psychopath....sijui lakini...
Most mental health professionals define a psychopath as a predator who takes advantage of others using charm, deceit, violence and other methods to get what they want. sasa sijui unazungumzia au kukanusha nini hebu lete nondo tujifunze maana mwaka wa nne nahangaika na hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…