Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Huyu ni nyoka mwenye hadithi nyingi sana na anaegopwa kuliko wote kwa sababu tofauti na nyoka wengine ambao hujihami, Black Mamba hua anashambulia. kwa Tanzania nyoka hawa wapo sana katika mapori ya Tabora na Mwanza na jina lake la asili ni Koboko. Siku zote nasema nyoka huyu angekua anapatika ulaya wazungu wangempa promo sana ila sisi waswahili tunawaua sana kiasi ambacho sasa hivi ni nadra kumpata Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu mkubwa
 
Yanaliwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ni kweli, kwa mfano mie nilikua maeneo ya igombe kule tabora, makoboko ni mengi kweli sema watu wa maeneo ya pale hawawasumbui sana hao nyoka, kunakua kama na ka amani fulani ila sio 100%, mwanzo nilikuaga naogopa sana wananiambia wapo nyuma ya eneo ambalo hua nalala maana kulikua na kichunguu kikubwa sana na mti mkubwa ila badae nikazoe tu, ila kuna mda wanapo kua wanatoka kwenda kuota jua na mawindoni na wanapo rudi ni lazima kujiepusha na maeneo ya makazi yao na njia wanazo tumia.

 
ila tabora, ule mkoa una manyoka mengi sana. kipindi nimehama kutoka huko kuja huku, hadi nikikua na miss kuona nyoka, nilikua nimezoea haipiti siku bila kukimbizana na swila au manyoka mengine mengine... ila huku dar kimyaa kabisa hakuna kabisa oya oya za nyoka na mijoka

 
Black mamba si nyoka mkali Ni miongon mwa mamba wapole Sana lkn pale tu utakapo mletea usumbufu Hapo Hapo huwa ana react
Black mamba is a territorial snake brother, akiwa porini ukiingia katika orbit yake anatoka huko alipo anakufata, wameshaua ng'ombe na mifugo kadhaa sema siku hizi wale Black Mamba wakubwa hawapo tena au wapo wachache sana na hawa wadogo wanakua sio aggressive kiviile
 
N kwel mkuu ila minina experience nilipewa warning moja Matata af wakapita zao bila kunidhur walkuwa wawil
 
Tena tafiti zao wanazofanya wanaangalia tu ukali wa sumu lakini hawasemi kwa ukali (aggressiveness) wa nyoka yupi ni most deadly, wangemkuta Koboko ni nambari moja
Ni kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
 
Ebhana huyu black mamba nimesoma tips kadhaa kuwa ni nyoka hatari sana, kwanza ana sumu kali, pili ana uwezo wa kukimbia umbali mrefu sana, kuruka toka umbali mrefu na kusimama kwa kutumia mkia wake hivyo kuweza kugonga vitu vilivyo kimo cha juu mfano ng'ombe, mbuzi n.... Ni nyoka mkorofi sana na ambaye ukianzisha vita dhidi yake ni lazima ummalize la sivyo yeye anakumaliza..... Sumu yake ya Neurotoxin inaathiri mfumo wa never katika ubongo ndio maana akikung'ta within 20 you gone
 

Mkuu. Black mamba na Cobra mafia wakikutana face to face nani anasurrender kwake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…