Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Kuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.

Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.

Ni Hatari Sana.

Ahsante.
Weeee jamaaaa
 
Kuna mahali Kusini mwa Tanzania nilishawahi fika kuna sifika sana kwa nyoka huko, kwa simulizi za wakazi wa huko naamini huenda wakawa ni hao Black Mamba.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ya kwel hayo bibie
 
Mkuu unakula mayai ya nyoka?
 
Uyo koboko nikiwa tabora kuna mzee alikuwa anafanya biashara za Uyoga hivyo alikuwa anafuata porini hasa maeneo yenye vichuguu sana na miti mikubwa.

Akiwa katika harakati zake siku moja porini kulikuwa na mahali pana mti wa mkwaju mkubwa pia chini kichuguu kukawa na uyoga mwingi sana alivunaa wakitosha sasa kama zali tu akiwa kainama anafunga funga mzigo wake ananyuka shati ikanasa katika kijimti tu ile anainama akitoe anakwambia alisikia kitu kimepita kichwani mwake pembeni kwa speed kubwa sana then kikajibamiza chini kwanguvu sana.

Akiwa kapigwa butwaa kutahamaki kumbe ndiyo huyo KOBOKO sasa alikosea target yule Mzee aliishiwa nguvu alimtazama yule nyoka akijinyoga nyoga palee GHAFLA ndiyo likaja wazo KIMBIA huyo koboko amekukosa ndiyo kuacha kila kitu pale pale. Na ikawa mwisho wa biashara ya UYOGA. Ni NYOKA HATARI SANA.
 
Hahahahhhhha,
Hatari sna aiseeeee
 
Taipan na desert viper ni hatari.pia king cobra wa kuogopwa!jana nilikuwa naangalia documentary ya anaconda nilishangaa sana wale nyoka wanafanya mapenzi kwa wiki nne bila kuachiana.wamenatana tu huku dudu zao zipo ndani.ni shida
Dah! Hii ingefaa kuigwa na binadamu. Wiki nne Za mgegedo non stop! Hebu fikiria
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…