Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Unatuletea koboko wa kwenye wikipedia..haah!!? Mtu yoyote anaweza kuweka upuuzi wake!!..sisi tunakupa facts..kutoka mapori makubwa hapa hapa afrika.
Nani wa Wikipedia kamleta kama sio huyo nwenzako mnaosapotiana kaleta source ya Wikipedia ndio nimemdadavulia .

Huwezi kunipa facts wakati tumeishi nao na kuwakamata ,..


Facts mnazotoa ni porojo tu hakuna fact yeyote niliyoona tangu jana
 
Unatuletea koboko wa kwenye wikipedia..haah!!? Mtu yoyote anaweza kuweka upuuzi wake!!..sisi tunakupa facts..kutoka mapori makubwa hapa hapa afrika.
Huyu nyoka anasumu Kali kweli lakini ukutana nae akukimbiezi tu bila kumchoku sio maana mm nilisha kutana nae anakajiondokea zake na wala sio mara moja
 
Huyu nyoka anasumu Kali kweli lakini ukutana nae akukimbiezi tu bila kumchoku sio maana mm nilisha kutana nae anakajiondokea zake na wala sio mara moja
Halafu kuna mtu anashinda mitandaoni haja experience anaanza kubisha na kuleta porojo

Na hizi porojo za koboko zimejaa sana mitandaoni ,hakuna aliyewahi kukimbizwa na koboko bora ulivyosaidia kumuelewesha jamaa
 
Kakoboko kadogo saana hako,tena wamekachagua kwa ajili kaliwe na baja..anyway nasema hivii nitumie link ya koboko aliyekomaa akiliwa na baja.
Hivi kweli unamjuwa koboko kweli au unaleta ligi ? Nimekupa link mara unasema eti kadogo! Koboko analiwa kama kitumbua. Awe aliyekomaa kama unavyodai wewe au vyovyote vile. Ndiyo muumba maulana alivyouumba kuwa hawa nyoka ni chakula cha honey badger. Nature hiyo mjomba. Sumu ya koboko haina madhara kwa mdudu huyu.
 
Nasema hivii niwekee link ya baja akimla koboko aliyekomaaa.
Wewe jamaa una matatizo sana kama hata ya nyegere kumla koboko unabisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] wallahi sirudii tena kusumbuka kuelewesha na kuandika

Halafu wajitia mjuaji wakati maisha ya nyoka na koboko huyajui [emoji23] [emoji23] upo empty


Kwa kukusaidia tu achana na nyegere ,nguchiro anamla koboko na popote alipo nguchiro koboko hukimbia

Duh salale


Si comment tena
 
Mkuu mbona una ligi hivyo? Wapi nimeandika huwa anakimbiza watu, nisome vizuri, nilisema ni aina ya nyoka ambae hujaribu kuepusha shari msikutane, Ila ukiingia kwenye anga zake ndio utamjua yeye ni nani, acha kukariri, unasema hana sifa ninazompa unataka kusema Koboko ni nyoka mpole? Acha zako, kawaulize vizuri wasukuma wafugaji watakwambia
 
Mimi binafsi simba mdogo hanisumbui halikadhalika kakoboko kadogo,lakini koboko aliyekomaa,nikimuona lazima nikimbie katika direction niliyotoka mambo ya wataalam wa wikipedia siyafuati hata kidogo.
 

https://www.google.com/url?sa=t&sou...CRAB&usg=AOvVaw2Qg-vECFh0z28OoyTmqK0-&ampcf=1

Embu soma hiyo source sasa uone unachokibisha, Koboko huwa unajitahidi kuepusha shari anapohisi hatari, Ila ukiingia anga zake huponi kirahisi kama unavyokebehi.

Hiyo source ni incredible, binadamu zaidi ya 20,000 hupoteza maisha kwa mwaka kutoka na kugongwa na koboko, sasa wewe uliekulia Dar unasimamisha shingo kwa ubishi. Ukiwaondoa Mongoose(Nguchiro) na Komodo dragon, Koboko predator wake mkubwa ni uharibifu wa mazingira tu
 
Kuna gereza moja lipo iramba linaitwa ushora huyo koboko alishawah kuua sero nzima kasoro jamaa mmoja tu ndio alipona baada ya kumfunika na blanket halafu akamng'atang'ata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…