Wafahamu kutoka kulia


Hahahah....chezea shule weye....ukimaliza shule kitarudi kitambi nakwambia
 
Hahahahahhaha mshana jr umenipatia haswaa. Binti wa kinyaki mimi, nimekunja ngumi kabisa, ukinichokoza tu nakuhekenya
 
Last edited by a moderator:
Hahahah....chezea shule weye....ukimaliza shule kitarudi kitambi nakwambia

Nimeishaje nakwambia! nna hamu kubwa sana na july2015...

nimekoswa koswa na september 11 mpaka raha! lol

sapu ni noma! kuna watu wamepata presha hapa baada ya kukwea kimeo cha hesabu! imagine somo mnasoma wote pamoja mnashindwa kuelewana, sasa leo umeitwa wewe peke yako, utalala kwa amani kweli? lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…