Wafahamu kutoka kulia

Born in Mara! lol
mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa!

Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa!

Unajikataa??? Aisee mi nlivyokuwa mdogo nlikuwa mzurije??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
 
Unajikataa??? Aisee mi nlivyokuwa mdogo nlikuwa mzurije??

So kwamba najikataa kiviiile, hapana! nilivyokuwa mdogo nilikuwa kibonge saaana, mwili mkubwa na kitambi juu utadhani toto la kihindi kumbe waaapi!

sasa, sasa hivi nikijiangalia sioni resembling! Mwili haupo! ubonge wooote nimeuacha tarime dadeki!

Yani nimenyooka kwenda juu utadhani mchongoma! duh!
 

Hahahahaaaa Excel acha vituko eti umenyooka kama mchongoma Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…