Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 #1 Wa kwanza ni Heaven Sent halafu bysange utafiti @ excel HARUFU @ mwekundu nk Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 27, 2014 #2 Kwi kwi kwi.... mshana jr unavituko Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #3 View attachment 180669
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Aug 27, 2014 #4 Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #5 Excel said: Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa! Click to expand... Kaka nina yangu kama hiyo nikitakaga kuiangalia najificha kwanza halafu nazima taa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Excel said: Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa! Click to expand... Kaka nina yangu kama hiyo nikitakaga kuiangalia najificha kwanza halafu nazima taa
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Aug 27, 2014 #6 Kumbe miss CHAGA alikua mcheza mieleka tangu zamani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Aug 27, 2014 #7 Excel said: Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa! Click to expand... Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Excel said: Born in Mara! lol mshana jr umenijuaje? kuna picha yangu ya utoto mpaka leo najikataa kabisa! Nikiiangalia halafu nikijitathmini naona sio kabisa! hahahaaaa! Click to expand... Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #8 Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... Hahahahaaaa Mr Rocky Mimi hapo sipo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... Hahahahaaaa Mr Rocky Mimi hapo sipo
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Aug 27, 2014 #9 Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? mi mzima kaka.. bado uko darful? lol
Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? mi mzima kaka.. bado uko darful? lol
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 27, 2014 #10 Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... kabanga katuharibia pozi lote aisee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Kaka mkubwa Excel mzima aise mambo yako yanasemaje msalimie utafiti na mshana jr hapo Click to expand... kabanga katuharibia pozi lote aisee
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Aug 27, 2014 #11 mshana jr said: Hahahahaaaa Mr Rocky Mimi hapo sipo Click to expand... Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Excel said: si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? Mi mzima mkuu Excel nipo aise huku darfur jua na joto kali kweli Ila karibu nitarudi bongo bana Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Hahahahaaaa Mr Rocky Mimi hapo sipo Click to expand... Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Excel said: si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? Mi mzima mkuu Excel nipo aise huku darfur jua na joto kali kweli Ila karibu nitarudi bongo bana Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #12 utafiti said: kabanga katuharibia pozi lote aisee Click to expand... Hahahahaaaa kabanga kuja huku Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Aug 27, 2014 #13 utafiti said: kabanga katuharibia pozi lote aisee Click to expand... Pozi la kabanga ni balaa hakuna mfanowe aise Mkuu salama Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: kabanga katuharibia pozi lote aisee Click to expand... Pozi la kabanga ni balaa hakuna mfanowe aise Mkuu salama
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 27, 2014 #14 Mr Rocky said: Pozi la kabanga ni balaa hakuna mfanowe aise Mkuu salama Click to expand... Salama kabisa my brother....na ww uko poa? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Pozi la kabanga ni balaa hakuna mfanowe aise Mkuu salama Click to expand... Salama kabisa my brother....na ww uko poa?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Aug 27, 2014 #15 utafiti said: Salama kabisa my brother....na ww uko poa? Click to expand... Niko poa kabisa bro mapambano ya maisha tuu hapa na pale ila usalama upo Umemuona kijana wa kikurya Excel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Salama kabisa my brother....na ww uko poa? Click to expand... Niko poa kabisa bro mapambano ya maisha tuu hapa na pale ila usalama upo Umemuona kijana wa kikurya Excel
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #16 Mr Rocky said: Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Excel said: si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? Mi mzima mkuu Excel nipo aise huku darfur jua na joto kali kweli Ila karibu nitarudi bongo bana Click to expand... Hahahaaaaaa tar 2 nakuja pande hizo maybe Juba Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Excel said: si unamuona utafiti wa kwanza kutoka kushoto hapo? Mi mzima mkuu Excel nipo aise huku darfur jua na joto kali kweli Ila karibu nitarudi bongo bana Click to expand... Hahahaaaaaa tar 2 nakuja pande hizo maybe Juba Click to expand...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Aug 27, 2014 #17 Mr Rocky said: Niko poa kabisa bro mapambano ya maisha tuu hapa na pale ila usalama upo Umemuona kijana wa kikurya Excel Click to expand... Excel namuona namuona ivi ila anaonekana yuko busy hatari.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Niko poa kabisa bro mapambano ya maisha tuu hapa na pale ila usalama upo Umemuona kijana wa kikurya Excel Click to expand... Excel namuona namuona ivi ila anaonekana yuko busy hatari....
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Aug 27, 2014 #18 utafiti said: Excel namuona namuona ivi ila anaonekana yuko busy hatari.... Click to expand... Ni kweli aise inaonekana ana deal la kuchimba dhahabu huko Nyamongo Mara ndo maana yuko busy mbaya huyu Excel mshana jr said: Mr Rocky said: Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Hahahaaaaaa tar 2 nakuja pande hizo maybe Juba Click to expand... Karibu sana mshana jr ila huku risasi nje nje Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Excel namuona namuona ivi ila anaonekana yuko busy hatari.... Click to expand... Ni kweli aise inaonekana ana deal la kuchimba dhahabu huko Nyamongo Mara ndo maana yuko busy mbaya huyu Excel mshana jr said: Mr Rocky said: Mbona kama nakuona mshana jr ni wewe kama unayetaka kupigana ngumi hapo Hahahaaaaaa tar 2 nakuja pande hizo maybe Juba Click to expand... Karibu sana mshana jr ila huku risasi nje nje Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 27, 2014 Thread starter #19 Mr Rocky said: Ni kweli aise inaonekana ana deal la kuchimba dhahabu huko Nyamongo Mara ndo maana yuko busy mbaya huyu Excel mshana jr said: Karibu sana mshana jr ila huku risasi nje nje Click to expand... Mungu ni mwema kuna tishio la Ebola pia Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Ni kweli aise inaonekana ana deal la kuchimba dhahabu huko Nyamongo Mara ndo maana yuko busy mbaya huyu Excel mshana jr said: Karibu sana mshana jr ila huku risasi nje nje Click to expand... Mungu ni mwema kuna tishio la Ebola pia Click to expand...
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Aug 27, 2014 #20 Hahahahaha ka utafiti kanaonekana kakorofi kweli kweli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016