Wafadhili wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafadhili wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kowero Fredy, Jun 19, 2011.

 1. K

  Kowero Fredy Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nadhani tungepata taarifa za ufadhili kwa vyama vyote ccm included ili kuwa na fair analysis, vingenevyo itakuwa ni umbeya.
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujue ili iweje? Toa unafiki wako hapa wala haikuhusu tupe wale wa magamba kwanza.
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tafuta mwenyewe huo umbea halafu utakuja kutujuza!!vipi umetumwa nini!!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  c.r.a.p!
   
 6. Y

  Yetuwote Senior Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nchi yako inafadhiliwa toka nje, sembuse chadema! Hii hatari unayoisema inatokana na nini?
   
 7. m

  matunge JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Ufadhili kwa vyama vya siasa umeanza leo? lipi la ajabu? kama nchi inafadhiliwa itakuwa chama?
   
 8. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wafadhili wa ccm
  wafanyabiashara karibu wote nchi including
  RACHEL
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  kwa kukusaidia nitakupa ya wafadhili wa ccm make ndo nao wafahamu

  1. rostam aziz- mfadhili mkuu- hawamfanyi chochote
  2. Wahindi wote tanzania- ndo maana hawabuguziwi kama wabongo
  3. Wafanya biashara wakubwa na wakwepa kodi wakubwa
  4. Wauza madawa ya kulevya wakubwa- ndo maana hawakamatwi
  5. Makampuni ya madini kama barcki- ndo maana wanaua watu na hawalipi kodi
  6.chama cha kikomonist cha china- ndo maana wamachinga wa kichina hawafukuzwi kariakoo, na makampuni ya china kupata tenda nyingi sana na china kuuza bidhaa feki. Make bidhaa feki za china ziko tz peke yake na sababu ndo hiyo kama ulikuwa hujui
  7. Majambazi wakubwa sana- ndo maana hawakamatwi wanao kamatwa ni vibaka
  8.
  waarabu wa saudi arabia/familia ya kifalume- hawa wameuziwa loliondo wanawinda kila kitu hadi kobe
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Kama hajakuelewa atakuwa na mtindio wa Ubongo sasa
   
 11. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndio maana Tanzania watu wanafeli sana mitihani! Sasa angalia Njuka wewe umeulizwa nini halafu na wewe umejibu nini??? Punguza bange zitakufikisha pabaya
   
 12. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mfadhili mkuu wa CHADEMA ni ujinga wa CCM+peoples power(Nguvu ya umma)

   
 13. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa aliyekuuliza kama unafahamu ya CCM ni nani??? Unatumia makalio kufikiria au una mtindio wa ubongo??
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  natumia dada yako kufukiria. Yapu nimeweka ya ccm kwa hiyo unatakaje? Au nepi atakumaindi?

  Angalia kibarua kisije ota nyasi make hapa uko kazini unaingiza siku .

  Orodha nyingine ya wafadhili wa ccm ni hii hapa.
  1. takukuru- hawa ni wafadhili wakubwa sana wa ccm hasahasa kipindi cha kampeni.
  2. polisi- hawa pamoja na kuishi kwenye vibanda kama bata mzinga, ni wafadhili wa ccm
  3. tbc 1
  4. tbc taifa
  5. daily news, habari leo
  6. nec- hawa ni wafadhili wakubwa sana na wasingekuwa hawa ccm ingekua ishakua kama ilivyo kanu kwa sasa, hawa ni wachakachuaji wakubwa, wana phd katika maswala ya kuchakachua
  7. redeti- hawa ni watu wa propaganda za ccm.
   
 15. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
   
 16. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwanza fafanua ni hatari kivipi maana hata serikali yetu inafadhiliwa, pili mbona unaulizia cdm tu na sio vyama vyote vya siasa? Pamoja na ufadhili magamba wanachota toka bank kuu na taasisi mbali mbali za serikali na kuzifuja watakavyo
   
 17. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Peoples power ndio wafadhili wakubwa wa CHADEMA na wala si mwingine.
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hatari ni wewe na mabwana zako waliokutuma. Kodi zetu mwazificha nje!
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wafadhili wengine wa CCM ni

  Tume ya Uchaguzi ya Tanzania
  Polisi wa Tanzania chini ya Mwema
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu tatizo mnachelewa jamvini. Wakati mama sofia simba alipopayuka kuwa cdm ina ufadhili haramu ,mnyika,na us embassy akampa onyo,thread nyingi zili discuss ishu iyo. Au unataka kusema what goes around comes around? Anyway naongeza mfadhili mwingne wa chadema: ni jamhuri wa muungano wa Tanzania. Hapa cdm wanapata Ruzuku ya maana kujiendesha. Pia ccm yenyewe ni mfadhili wa chadema kwa kuwapa raia mateso mpaka wakamwona cdm ndo mkombozi. Pia makada wake huisadia cdm sana,mfano kuna mzee sabodo anamwaga maela,pia mwakyembe,sita,na Nauye Nape ktk kampuni yao ya siri Ccj ndo huleta nyaraka kutoka kwa wanaotafuna taifa.
   
Loading...