Huu sasa ni utoto. Hasira hizi ni za nini. Wewe ungesema kwamba hoja hiyo ivihusu vyama vyote ikiwemo CCM, lakini kusema kamba huo ni unafiki ni utoto na ujinga. Ni lazima taasisi zetu ziwe wazi kwa kila mtu kujua na hili ni sehemu ya governance package kwa mifumo ya demokrasia kama ya kwetu. Unajuaje labda kuna wauza mihadarati wanafadhili siasa zetu ( na nina maana kwa vyama vyote)? Hii hulka ya wafuasi wachanga wa Chadema kulipuka na kutukana ndiyo moja ya mapungufu makubwa ambayo chadema wanatakiwa kuondokana nayo kama wanataka kuonekana ni chama serious. Unajiuliza wasomi ambao wana uwezo wa ku-post thread humu wana-behave hivi, je wale wa mtaani. Observe tolerance man!