Wafadhili wa CHADEMA

Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
Democratic cha Obama, Republican cha Bush,CDU cha Angeller Michal,Pdp cha Dovutwa,ccm cha Mkweere,Lqd cha Olmet na vingine unawajua wafadhiri wake? Kwa taarifa yako hakuna chama kiwe cha siasa au cha wachawi kisicho na wafadhili! Jambo muhimu ni je lengo la mfadhili ni sawa na mfadhiliwa??Mfadhili mkuu ni wazalendo watz,ccm na kikwete na jumuiya ya wapenda amani duniani.
 
Ok, acha mie nimjibu anavyotaka, wa kwanza ni peoples power waliochoka na maisha boa kwa kila mtanzania, hawa huchanga hata damu zao ili kuing'oa ccm, wengine ni CDU hawa watapeleka vijana wa chadema kusomea uongozi huku ughaibuni, watajenga chuo cha uongozi hapa tz na wengine wengi. Una swali tena? Ushauri, vi vema tusifike katika matusi kama haya; narudia tena, tujadili hoja na si vioja
 
Swali jepesi majibu magumu, Christian Democratic Party Tanzania branch bana.
 
Swali jepesi majibu magumu, Christian Democratic Party Tanzania branch bana.
Kawaulize wamarekani waliokuja juzi na safari ambazo MKWEREE hua anaenda huko,na kamuulize CLITTON aliyekuja juzi,na anayeshadadia GADAFF aondolewe madarakani,na vilevile wanaochochea mauaji SRYIA na mashariki ya kati.
 
ni wananchi hilo ndio jibu kama umetumwa kawaulize wenzio kwenye sisiemu forum
 
Mimi Jiwejeusi ni mmoja wa wafadhili wa cdm. Nilifadhili kuchongwa jukwaa. Sema zaidi, maana swali lako ni la kikuda na wewe ni mwana magamba. To hell with your magamba.
 
Usisahau pia CCM inafadhiliwa na chama chenye kufuata siasa za Juche cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea ya Kaskazini nchi inayolaaniwa dunia nzima kwa siasa zake za uchokozi dhidi ya jirani zake
 
Wafadhili wakubwa ni hawa wafuatao:
Mbowe...kupitia mapato ya Billicanas club(pombe, umalaya, etc)

Mtei.... kupitia biashara ya kahawa ...he has a vision (mmachame awe rais)

Sabodo...Madawa ya kulevya...anajiweka tayari anafadhili vilevile chama cha magamba (utaona hakuna tofauti kati cdm na ccm)

Church.. unaudited sunday donations...mission ya padri awe rais...inaelekea kukwama kwasababu ya internal problem
 
kama ccmi inayomiliki raslimali zote za nchi inaishi kwa kutegemea wafadhili kinachokushangaza kwa cdm ni nini? zumbukuku acha kujichanganya.
 
kAMA KUFADHILIWA CHAMA NI USALITI, BASI PIA TAIFA KUFADHILIWA NI USALITI. IKUMBUKWE KUWA HUKO INAKOTOKA MISAADA YA VYAMA NA SERIKALI NAYO INAOMBA MISAADA NA MIKOPO HUKO HUKO. KIMSINGI TUJUE NANI ANAFADHILI NA KWA MALENGO GANI. MALENGO YA KUIMARISHA DEMOKARASIA NI KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE. KAMA MFADHILI KAKISAIDIA CHAMA KIKAWEZA KUWAUMBUA MAFISADI HADI WAKATANGAZA KUVUA MAGAMBA ( Ingawa sumu bado ile ile), TATIZO NI NINI?
 
Wafadhili wakubwa ni hawa wafuatao:
Mbowe...kupitia mapato ya Billicanas club(pombe, umalaya, etc)

Mtei.... kupitia biashara ya kahawa ...he has a vision (mmachame awe rais)

Sabodo...Madawa ya kulevya...anajiweka tayari anafadhili vilevile chama cha magamba (utaona hakuna tofauti kati cdm na ccm)

Church.. unaudited sunday donations...mission ya padri awe rais...inaelekea kukwama kwasababu ya internal problem

Ama kweli, una ongozi kama gamba la kenge. Pole we...
 
hata TANU wakati ule wa kupigania uhuru ilikuwa ikifadhili vyama vya siasa Malawi na Kenya, unafikiri ufadhili kutoka nje ni haramu?
 
Tanzania tunafadhiliwa kutoka nje hadi gharama kama vile kupaka rangi nyuta za ikulu, kuweka mtandao na vipasa sauti bungeni, CCM kukirimiwa na Al haji Qaddhaf wa Libya, zana za kivita kutoka Uchina, vyombo vya kutumiks na polisi sungusungu kutoka Japan, bajeti ya ofisi ya Tendwa kusimamia vyama vya siasa, gharama za uchaguzi, fedha kwa ajili ya kuendeshea serikali, madawa hospitalini kutoka Korea mikutano ya kiserikali Ngurudoto Arusha na mambo mengine kibao.

Kwa misingi hiyo, bila unafiki wowote, HATARI WA UFADHILI WA NJE (kama upo) mjadala wake uanzie mbali sana kable hatujatafuta kunenepesha hii propaganda mpya ya CCM iliyoshindwa kabla ya wakati.

Kama nchi yako inafadhiliwa toka nje, sembuse chadema! Hii hatari unayoisema inatokana na nini?
 
WEWE NJINGA NINI, AU UMETUMWA NA NEPI?

MIMI NIMEKWAMBIA NINAFAHAMU YA CHICHIEMU, NA NIMEKUOROZESHEA HAPO CHINI. KWANZA WEWE NI KENGE TU.



NATUMIA DADA YAKO KUFUKIRIA. YAPU NIMEWEKA YA CCM KWA HIYO UNATAKAJE? AU NEPI ATAKUMAINDI?

ANGALIA KIBARUA KISIJE OTA NYASI MAKE HAPA UKO KAZINI UNAINGIZA SIKU .

ORODHA NYINGINE YA WAFADHILI WA CCM NI HII HAPA.
1. TAKUKURU- HAWA NI WAFADHILI WAKUBWA SANA WA CCM HASAHASA KIPINDI CHA KAMPENI.
2. POLISI- HAWA PAMOJA NA KUISHI KWENYE VIBANDA KAMA BATA MZINGA, NI WAFADHILI WA CCM
3. TBC 1
4. TBC TAIFA
5. DAILY NEWS, HABARI LEO
6. NEC- HAWA NI WAFADHILI WAKUBWA SANA NA WASINGEKUWA HAWA CCM INGEKUA ISHAKUA KAMA ILIVYO KANU KWA SASA, HAWA NI WACHAKACHUAJI WAKUBWA, WANA PHD KATIKA MASWALA YA KUCHAKACHUA
7. REDETI- HAWA NI WATU WA PROPAGANDA ZA CCM.

KAMA WEWE C CHAKULA YA MAGAMBA NI BAHATI. MIMI NAHISI WEWE NI CHAKULA YAO. BAADA YA KUTOKA KULIWA NA HAO MAGHAMBA BREAK YA KWANZA ILIKUWA NI KWENYE JF NDO MASHARITI YENYEWE HAYO NA BILA YA WEWE KUYATIMIZA KIBARUA KINGEOTA NYASI

La salaale!!!
Kwa mtaji huu wa matusi huyu jamaa aingie moja kwa moja Kamati Kuu Ya CHADEMA!!!!
 
Nadhani tungepata taarifa za ufadhili kwa vyama vyote ccm included ili kuwa na fair analysis, vingenevyo itakuwa ni umbeya.

Jamani DR aliisha ulizwa juu ya hili swala akiwa air port anatokea Liberia, akiwa na kaka
wakati huo ndio hot (wanatafutiwa sababu) akajibu kwa kifupi sana
kwamba, hata CCM wanafadhiliwa na akataja plot number ya kiwanja cha nyumba
anayokaa kiongozi wa shirika la ujerumani linalowafadhili ccm kilichopo ostabei, na mjadala ukaishia hapo.

sasa sijui wewe unataka nini zaidi
 
naongeza list ya wafadhili wa CCM

WAFANYABIASHARA WA MAFUTA, HUCHAPISHA T SHIRTS HALAFU WANAAMBIWA WAJIPANGIE BEI!
 
TAIFA LETU LINAANGAMIZWA NA ADUI MPYA WA MADAWA YA KULEVYA HUKU
WENGINE TUNACHEKELEA NA KUSHEREKEA FAIDA ZA MSIMU??????????


Huko nyuma tulipata kuambiwa kwamba maadui wakubwa wa taifa letu kwa wakati huo yalikua ni pamoja na Ujinga, Maradhi pamoja pamoja na Uhaba wa lishe kwa watu wetu. Kwa misingi hiyo, serikali za vipindi hivyo vikajiwekea mikakati kibao kujinasua huko.

Leo hii adui mpya kwa taifa letu ni mihadarati na kwa masikitiko makubwa ni kwamba licha ya kuwa na mikakati mikali sana juu ya hilo - yoooote yamebakia to pambo kwenye mifaili ndani ya ofisi zetu kuonyesha hao hao wafadhili wa nje. Ajabu ni kwamba sote tunajifanya kama vile hakuna adui kama huyu wakati vijichangamoto zake vina dhoruba kali mno kwa jamii yetu.

Sawa sawa na mawimbi ya Tsunami yalivyowahi kuripotiwa kuambatana na kimbunga kikali mno iliyokua ikiteketeza nyumba na mali nyinginezo hata kabla ya milima ya mawimbi ya ajabuya baharini kumeza kutpika nje na kuanza kumeza kila kitu katika nchi kavu; hivyo vivyo nalo adui mihadarati ambayo hivi sasa tunalifumbia mcho unavyokuja na milima ya mawimbi ya ujambazi, ukahaba, mifarakano ya familia, na utowekaji wa nguvu kazi ya taifa.

Sasa kwa kiwango cha mzaha amcho mtu aliyeanzisha thread hii anavyoonyesha mbele ya macho yetu basi walau inaleta mantiki mtu kusema ya kwamba ni afadhali ya hivyo vyanzo vya ufadhili wa CDM kuliko vile vya kukifadhili CCM na wizi mzima wa uchaguzi kutokana na kuchuuza madawa ya kulevya kila mta kama vile Kinondoni kwa Manyanya na kudidimiza kabisa nguvu kazi ya taifa.

Hakika chanzo hiki kikuu cha ufadhili wa CCM ni hatari kuliko kitu kingine chochote kile kwa kuwa baadhi ya Mawaziri na Wabunge wa CCM kibao ni Wazee wa Unga (ukibisha tu na basi tutamwaga mtama woote hapa kwenye kuku wengi pamoja na ushahidi WA KUTISHA) nchini.

Hebu angalia tu jinsi nguvu kazi ya taifa inavyosinyaa na vijana wengi kugeuka muonekano kama Vizee Vikongwe mitaani kuliko hata babu zao vijijini!!!!!!!!!!

Taifa linaangamia na tatizo tunalifahamu sote ila kwa uchoyo wa moyo wa kutojali kuteketeza vijana taifa la leo, ufadhili wa wauza unga nchini unaendelea tu kuabudiwa na kutukuzwa kuwa ndio wajanja hao.

Ni nani atakayetuokoa na janga hili hatari kwa taifa kwa zaidi ya mika 60 ijayo na badala yake tunaanza na 'Matatizo ya Kuchonga' juu ya CHADEMA huku tukinyamazia tatizo sugu kama hili?????????????????

Inauma sana tunavyohujumu uchumi wetu wenyewe kwa kipato cha muda mfupi na utajiri wa haraka huku maendeleo ya kitaifa ikidorora na vitendo vya ujambazi na ukahaba kuongezeka!!!!!!!!!!!!!!

Nauliza tena, badala ya hizi ngonjera za CCM juu ya CDM kwenye mi-propaganda za kisiasa ambazo kwa bahati zuri wengi hatuziamini, wenye moyo wako wapi kutuokoa kama taifa bila kuleta mzaha katika mambo ya msingi kama ilivyo AFYA NJEMA YA VIJANA katika taifa lolote lile??????????????

Tanzania, tutafakari tatizo hili kiundani zaidi bila kuendekeza siasa za maji taka za CCM hapa. Ndio kama hivyo taifa letu linatumbukia kwenye shimo lisilokua na kina huku baadhi yetu macho yote yakiwa tu kwenye faida za msimu kuliko athari za muda mrefu wa taifa hili.

Laiti sote tungekua na uwezo wa kupata fundisho la jirani zaidi kwenye mifupa yetu kama ambavyo ilivyomtokea Profesa mmoja lizee la Unga UDSM na jinsi mwanae alivyoaga dunia kwa namna ya kuhuzunisha sana kutokana na mateso ya mihadarati hayo hayo aliyokua akichuuza baba, na almanusura baba wa watu kurukwa akili kwa mwanae kipenzi akipogeuka wa baridi baada ya kutaabika kwa muda mrefu saaaaaaaana mihospitalini, na basi hata mizee yetu ya unga yenye nafasi huko serikalini ambao wanajulikana sana tu nyuma ya pazi, nao pia wangeweza tu KUHIARI na kuacha kabisa bishara hii angamizi na kuliweka mbele zaidi MASLAHI YA TAIFA letu mbele ya maslahi madogo madogo ya muda mfupi - na kwa njia hiyo taifa letu tungepona na kuweza kushindana vema kwenye utandawazi miaka 100 ijayo.

Nakulilia Tanzania, nakulilia nchi yangu, unatupenda sana na kutupa kila kitu sawasawa na mapenzi yake Mwenyezi Mungu lakini kwa uchoyo wa nafsi zetu hizi, mzazi mmoja humteketeza mtoto wa jirani yake kwa madawa ya kulevya tena bila huruma, aibu wala kukutazama wewe Tanzania na maendeleo yako kwa zaidi 50 ijayo; japo nimepata vitisho sana kuzungumzia hili huko nyuma lakini Tanznia ninakuahidi juu ya hili kwamba kamwe sintonyamaza kulisemea mpaka pale nitakaponyamaza kwa mapenzi yake Mola mwenyewe!!!!!!!

Viongozi wetu wa DINI NCHINI, taifa letu linaangamia na biashara ya wakubwa ya madawa ya kulevya nchini; mkichagua kulinyamazia leo tatizo hili na basi vema mkalinyamazie milele hili JUKUMU LENU MAMA na kamwe mama yetu Tanzania haitoka ikawasamehe katika hili - Mwadhama Polycarp Pengo, Mufti Mkuu Sheikh Simba, Askofu Mkuu Mokiwa, Baba Askofu Malasusa na hata nyinyi msiokua na dini jamani nendeni Kinondoni kwa Manyanya ili mkajionee taifa letu linavyoangamia wakati uwezo wa kugeuka mbogo na kufanya taifa hili liwe ni taifa bila mihadarati mnao ... vijana wadogo tu ndio hao kibao sura zao zinamikunjo zaidi hata ya babu zao vijijini, udenda kuchuruzika masaa ishirini na nne na pindi azindukapo lake ni kukaba tu ili akapate VIJISENTI bila jasho kula bure na kubwiya zaidi.

... nasema kweli kabisa viongozi wetu wa dini nyamazeni milelejuu ya tatizo hili endapo mtachagua hivo lakini msije mkasingizia hamkujua taifa letu tulipoangukia; maana kwetu sisi kila kitu ni siasa tu na porojo porojo tu bila mwisho ...

Nalia mimi!!!!!!!!!!!!!!


Wafadhili wakubwa ni hawa wafuatao:
Mbowe...kupitia mapato ya Billicanas club(pombe, umalaya, etc)

Mtei.... kupitia biashara ya kahawa ...he has a vision (mmachame awe rais)

Sabodo...Madawa ya kulevya...anajiweka tayari anafadhili vilevile chama cha magamba (utaona hakuna tofauti kati cdm na ccm)

Church.. unaudited sunday donations...mission ya padri awe rais...inaelekea kukwama kwasababu ya internal problem
 
Back
Top Bottom