Hatupo kwenye zama ambazo umezifanyia rejea. Kuna namna wanawake wamebadilika. Kuna namna mifumo ya kijamii imebadilika. The whole system rigged against men, kwahiyo ni lazima na mwanaume nae afanye adjustment.
Nipo selective sana linapokuja suala la kujenga urafiki na mwanamke. Sitengenezi urafiki na mwanamke asiyekua na mbele wala nyuma kwahiyo kwenye network yangu hakuna mwanamke masikini, lakini ukienda bar zinazokesha wikiend utawapata wengi sana.Mimi
Nawataka hao wanawake maskini.
Ukiniletea kama 10
Kwa kila mmoja nitakuzawadia milion moja za kitanzania.
Wahi mapema
Nafasi ni chache.
📌 mimi siku zote nasema wanaume wenye pesa wana maneno kidogoHuyu dalili za umasikini zimemjaa!!!!!
Mwanaume kabisa ambae yuko vizuri Hana muda wa kuandika hayo makanyagio
Wanawake ni wafanyabiashara wa Mapenzi?Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake
Ila threads zako zinaonesha kwenye mizunguko yako unakutana sana na wanawake wa design hiyo.Nipo selective sana linapokuja suala la kujenga urafiki na mwanamke. Sitengenezi urafiki na mwanamke asiyekua na mbele wala nyuma kwahiyo kwenye network yangu hakuna mwanamke masikini, lakini ukienda bar zinazokesha wikiend utawapata wengi sana.
Pesa huwa inaongea yenyewe na sio haya makelele.📌 mimi siku zote nasema wanaume wenye pesa wana maneno kidogo
Wanaume wa siku hizi ni irresponsible ndio maana vitu basics tu vya kufanya kwa wanawake wanavianzishiq mijadala.Wanawake ni wafanyabiashara wa Mapenzi?
Nimeelewa dadaPesa huwa inaongea yenyewe na sio haya makelele.
Mpaka Leo hujaelewa maana ya umasikini ni laana????
Ndio sasa noiz pollution
Exception ipo kwenye kila kitu.Natofautiana na wewe kidogo, mwanamke anaweza kua maskini ila akawa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yako, kuliko mdada mwenye ajira anaelipwa 5M kwa mwezi Natafuta Ajira
Hiyo ni user name, ina historia yake.😁😁 Unatafuta ajira ya nini kama wewe sio maskini
Tuwaache tu wajipoze machungu lakini mwanamke asiye na vizinga Bado hajazaliwaNimeelewa dada
Aisee hata masikini akipata hela lazima tu atabaki na umasikini kicwani
We nae unakuaga mkweli sanaTuwaache tu wajipoze machungu lakini mwanamke asiye na vizinga Bado hajazaliwa
Nita-date na mwanamke maskini na atakula hela zangu mara nyingi tu, ila nitaangalia character yake jinsi ilivyo (how compatible we are)📌 mimi siku zote nasema wanaume wenye pesa wana maneno kidogo
Kwenye mahusiano Yeye atakuja na pesa. Wewe utakuja na nini?Pesa huwa inaongea yenyewe na sio haya makelele.
Kama kawaida siku zote huwa mnamshambulia mtoa hoja badala ya kushambulia hoja. Msubirini think tank wenu Binti kiziwi aje kuwatetea, otherwise mtaishia kujidhalilisha tuHuyu dalili za umasikini zimemjaa!!!!!
Mwanaume kabisa ambae yuko vizuri Hana muda wa kuandika hayo makanyagio
Na uzee huu ya Nini kuchuma dhambi ya uongoWe nae unakuaga mkweli sana
🤝🤝 uzuri leo mtoa mada wanaume wenzie ndio wana battle naeNita-date na mwanamke maskini na atakula hela zangu mara nyingi tu, ila nitaangalia character yake jinsi ilivyo (how compatible we are)
Naamini there are other multiple ways mwanamke anaeza toa mchango kwenye maisha ya mwanaume, hata kama huyo mdada hana hela, na hata kama asipotoa sex, bado huyo mdada maskini ana mchango.
Huwezi kuwa hutaki kujihusisha na maisha yangu (huna companionship, friendly affection,), ila ukipata shida ya hela ndo unahaha kunitafuta ..hapo utaniona mbahili ShesRise_1 leo dada Natafuta Ajira