Unachosema ni sawa lakini mara nyingi ni bora usiifanye kazi yenyewe kama hali hairuhusu kuifanya kwa ufanisi kwa sababu za kimaslahi au uchovu wa kuwa na kazi nyingi kwa kipindi kifupi kwasababu baadhi ya kazi kosa moja hupelekea vifo vya watu wengi na/au uharibifu mkubwa wa mali. Chukulia ni fundi anayefanyia service gari la abiria au treni na akafanya kosa la kupelekea gari au treni kupinduka.