Wadosi Uganda:Tunataka tupatiwe wizara maalum ya Indians ministry

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Wahindi wadai waundiwe wizara maalum Uganda kwani huchangia aslimia 60 ya uchumi wa ndani(domestic revenue)
ImageUploadedByJamiiForums1461855979.657337.jpg
 
Wadosi wabaguzi sana,nakumbuka mwaka 2006 walifanya mashindano ya miss Indian in south Africa ktk jimbo la Durban,mwanzo walikubali kuchanganya rangi,yaani mwanamke wa race yoyote anaweza kushiriki Basi Mungu akawaumbua akashinda Dada wa mweusi wa kizulu,mbona mule ukumbini mulikuwa hakutoshi! Walianza kurusha chapa za bia Na mashindano yenyewe yalikwisha hapo.
Rangi nyeupe yote hana urafiki Na ngozi nyeusi ukiona anakuganda/anamganda MTU mweusi ujue anataka kukutumia kama condom.
Nalog off
 
Inawezekana nyie mnaoponda hamjasoma habari mkajua undani wake...acheni ubaguzi ngozi nyeusi.
 
Hivi wameomba wizara ya wahindi au waziri mwenye asili ya kihindi?
By the way, wasifikiri kila nchi ni Tanzania.
 
Huu ni uhaini...! Wana bahati Museveni n mpole...!! Ila nadhani IGP Kale Kaheiyura...akiruhusiwa atawatia nguvuni kwa makwenzi!!
 
Wamekaribishwa sebuleni sasa wanataka kuingia chumbani waendelee kumchezeya huyo M7 lakini sio hiki kifaa
9cdbbfa40e5786546e8673bc7a4e1738.jpg
 
Back
Top Bottom